irumba1
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 882
- 321
Wana jf nimepoteza mawasiliano na mwalimu tajwa hapo juu(FESTO NDUNGURU) Anafundisha wilaya ya Singida vijijin shule nimeisahau tulikuwa tunataka kuanza mchakato wa kubadilisha vituo vya kazi nimepoteza namba yake kama kuna mtu anamfahau au ana namba yake anipe au kama yupo humu ndan basi anitafute tuweke mambo sawa mimi nipo wilaya mbinga