Mwalimu festo ndunguru-singida vijijini

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
321
Wana jf nimepoteza mawasiliano na mwalimu tajwa hapo juu(FESTO NDUNGURU) Anafundisha wilaya ya Singida vijijin shule nimeisahau tulikuwa tunataka kuanza mchakato wa kubadilisha vituo vya kazi nimepoteza namba yake kama kuna mtu anamfahau au ana namba yake anipe au kama yupo humu ndan basi anitafute tuweke mambo sawa mimi nipo wilaya mbinga
 
daaaah jaman hakuna mdau hata mmoja anaemfaham huyo mwalimu?
 
Nitakupatia muda c mrefu ngoja nichongenae kwanza isije ikawa unadili nae mbaya

hamna dili baya ni mchakato tu wa kubadilishana vituo vya kazi ndio maana namba zangu nimeziweka ingawa ni kwa 'my own risk'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…