Mwalimu gani alibadilisha maisha yako?

Mwalimu gani alibadilisha maisha yako?

Mwalimu gani enzi hizo ukiwa shule alikufanya ukaipenda shule au somo fulani?

Mtaje hapa
Mwalimu Ndomba sauti mbili shule ya msingi Kiburang'oma huko Songea...!!! Mwalimu yule alinifanya niipende shule sana.

Kuna mwalimu anaitwa Ndunguru, alinifanya nipende sana kucheza soka..!!
 
Back
Top Bottom