Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What...??? Sikutegemea kukutana na neno pRof kwenye huu uzi kwamba alikuwa mkali...
kaka mwl banana jina lake la kwanza nan?Nyakabungo primary school pale Mwanza alikuwepo mwl Aron, pamoja na jirani yake mwl Banana.
Walikuwa wakisimama maeneo ya parade ground hata kama ni break time watoto wote wanaingia mitini na kurudi madarasani tena bila kusikia kengele ya pili.
Pale S/M SAMORA MJIMWEMA alikuwa mwalimu JEMBE,huyu jamaa alikuwa anatufundisha hisabati darasa la 6-7,ilikuwa ukimzingua tu anagonga hadi vichwa.
O/level kulikuwa na MOHAMED UTALY,jamaa alikuwa anafundisha COMMERCE.anauliza swali na anakuchagua ujibu hata kama hukunyoosha kidole,ukipata unagongwa bakora kwamba ulikuwa unajua halafu hunyooshi kidole,
MAPUNDA D,(mbuni) huyu alikuwa mnoko balaa.
CHUO,kuna dingi mmoja alikuwa anaitwa MKUMBO alikuwa anafundisha FINANCIAL ACCOUNTING alikuwa anapenda kunyanyasa mabinti wakijichanganya tu amekula kichwa.
wapi MSAKY wa COMMUNICATION SKILLS?
shule ni noma arif.
Mwl machumbe na mwl mtatiro,shule ya mcng majimoto huko serengeti,zam yao wanafunz tulikua tunafka shulen sa 11 alfajiri ili kuwah kuhesab namba,kumbuka kule miaka hyo n pori lkn bora uamke usiku uliwe na fisi lakin usichelewe namba,unapgwa style moja inaitwa shka masikio,stiki kama 30 hapo mgongon,mkuu ilikua heri kuliwa na fisi kuliko kuchelewa namba.
Kweli watu Jamiiforum wengi wametoka bushi
wakuu,
katika almost shule zote hua hawakosekani wale walimu wa kali balaa ambaye ukiingia kwenye 18 zake ni lazima ueleze. kwa mfano mimi shule ya msingi lugalo niliposoma kulikua na Mwl.Chavala,Mwl.Kinyogori,Mwl.Bango,Mwl.Getwa,Mwl.Buchwa aisee hawa walimu sitawasahau kamwe. maticha,walikua wana mwaga stiki kama hawana akili nzuri aisee,
then makongo kulikua na Kisarika, Yeyeye,Malongori na Afande Miraji (thou hakua mwalimu). ebana kuna siku tulipata msala asembo baada ya kuimba vibaya wimbo wa taifa, huwezi amini marehemu Afande Miraji single-handedly alizungusha stiki shule nzima kwanzia form 1-6 pale asembo af akarudia raundi mbili. kuna jamaa kesho yake akaomba uhamisho baada ya kukamatwa tena na afande miraji hakwenda zamu akala stiki 15 za adabu. vp mwl gani ushakutana nae hadi leo huwezi msahau?
wewe kwenu wapi kama si bush????????????? unadhani hapo town ulipo sasa hivi ndio kwenu!!!!!!!!!!!!!!!!!Kweli watu Jamiiforum wengi wametoka bushi
1988 to 1991, form 1B, form 2 to form4 group 4 electrical.... Halafu kula na kocha, ticha wa bweni la chabu huyo, halafu kulikuwa na Lihuruku a.k.a Mbungi, si mchezo
wewe kwenu wapi kama si bush????????????? unadhani hapo town ulipo sasa hivi ndio kwenu!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nilisikia amefariki but niliwahi kumiona,then nikasikia tena amefariki,ilikuaje jamani du rip,
Uliposema Samora, umenikumbusha Lizaboni, Kakululu Bar, Foloma... Maana wakati tunasoma hata dalili za samora hazikuwepo... lile eneo kulikuwa kuna kitu tunakiita ''' LUHANU'' kikwetuPale S/M SAMORA MJIMWEMA alikuwa mwalimu JEMBE,huyu jamaa alikuwa anatufundisha hisabati darasa la 6-7,ilikuwa ukimzingua tu anagonga hadi vichwa.
O/level kulikuwa na MOHAMED UTALY,jamaa alikuwa anafundisha COMMERCE.anauliza swali na anakuchagua ujibu hata kama hukunyoosha kidole,ukipata unagongwa bakora kwamba ulikuwa unajua halafu hunyooshi kidole,
MAPUNDA D,(mbuni) huyu alikuwa mnoko balaa.
CHUO,kuna dingi mmoja alikuwa anaitwa MKUMBO alikuwa anafundisha FINANCIAL ACCOUNTING alikuwa anapenda kunyanyasa mabinti wakijichanganya tu amekula kichwa.
wapi MSAKY wa COMMUNICATION SKILLS?
shule ni noma arif.