Kweli kabisa wakuu, ni rahisi sana kugundua upeo wa mtu anayeleta mada humu..... Huyu mleta hii mada nadhani ni kamlete!!!! Na hata elimu yake na upeo wake wa kufikiri utakuwa na tatizo
Nilipigwa ban refu ndio narudi leo lakini wewe *****ge naona unanitafutia kufungiwa kabisa hapa jf
kavulata, jukwaa hili ni la great thinkers. Umepoteaje ukafika humu? Mtu mwenye fikra ndogo tu angeweza kukumbuka kwamba hata hao unaowaita walimu waliofaulu elimu ya sekondari kwa daraja la IV hawakujipeleka kwenye ualimu. Mfumo uliopo ndio umewavuta kuwaingiza huko. Mchangiaji mmoja amekuelimisha bure (ingawa kimsingi unapaswa ulipie hilo) kwamba hata walimu waliofaulu kwa madaraja ya II na III (kumbuka wapo wengi tu) bado malipo yao hayako sawa kama hoja yako muflisi ingekuwa inafanya kazi. Na unapotukana wataalam wa kada hiyo ambao wamekutoa tongotongo machoni huna tofauti yoyote na ndege lipyoto. Ndege huyu hujihadhari kutokanyaga kinyesi wakati ule anapokuwa anakula funza watokanao na kinyesi kilichooza. Wewe baada ya kupitia mikononi mwa walimu wa UPE na hao wa Div. IV ukafaulu kwa kiwango cha juu, ndiposa unahisi kwamba una akili kuwashinda hao waliokuwezesha! Kuendelea kufanya mjadala na wewe ni kujikaribisha bure kwenye kundi lako ambalo Mh. Didas alisema wanafikiri kwa kutumia nyuma zao. Ninakuacha uendelee na hilo kundi lako maana hata kufundishika kwako kunaelekea kuwa ni kwa gharama kubwa!Sikutarajia majibu tofauti na haya niliyoyapata kwenye uzi wangu huu kwasababu ukweli unauma, lakini meseji sent. Walimu hawa ndo wanaosababisha watoto wetu hawajui kusoma na kuandika, kutokana na uwelewa wao mdogo wanashindwa hata namna ya kula rushwa kwa kumfaulisha mtoto asiyejua kusoma na kuandika kwenda kidato cha kwanza. Mtu mwenye division 4 point 28, tena hapo zamani kidogo ilikuwa hata darasa la saba ni mwalimu gani????. Mwalimu gani anauza karanga na ubuyu darasani hata kama ana mshahara mdogo. Mwalimu wa aina hii naye anataka kumiliki nyumba, gari, kusomesha watoto international school kwa kutumia mshahara wake, nchi gani umeiona hii?.
Acheni ujinga wenu wapondaji.
Lameck Airo mbunge wa Rorya ameishia la 7 anachukua posho na marupurupu kibao ndan ya Bunge .Acha fkra magamba mwalimu kaz anayofanya inapaswa kabisa kulipwa kima cha chini sh.315000 alafu acha kudharau ajira ya walimu kilaza weweMigomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi?
Yeye ni form 1V division IV point 28 na wengine ni darasa la saba (UPE), wakaenda kozi ya ualimu wiki 4-6, hivi wanategemea miujiza gani kwenye mishahara yao?
Binafsi watu hawa waelemishwe wajue sifa walizonazo kwanza, hii ni sawa na nurse attendants, CO anayelalamikia mshahara mdogo pia kwa kujilinganisha na madaktari waliopata division I form IV na form VI na kwenda kozi miaka 6.
Binafsi hawa ndio wanaotakiwa kusikilizwa zaidi maana ndio wanaopunjwa na mfumo wa uchumi wetu.
Lameck Airo mbunge wa Rorya ameishia la 7 anachukua posho na marupurupu kibao ndan ya Bunge .Acha fkra magamba mwalimu kaz anayofanya inapaswa kabisa kulipwa kima cha chini sh.315000 alafu acha kudharau ajira ya walimu kilaza wewe
Wacha tu mkuu, mdo umahiri wa shule za UPE na sasa sekondari za Kata.Bei gani?
Wacha tu mkuu, mdo umahiri wa shule za UPE na sasa sekondari za Kata.
Ndo wanaingia sokoni hao!
Migomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi?