Ukwelinauhakika
Senior Member
- Aug 15, 2012
- 156
- 40
migomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi?
Yeye ni form 1v division iv point 28 na wengine ni darasa la saba (upe), wakaenda kozi ya ualimu wiki 4-6, hivi wanategemea miujiza gani kwenye mishahara yao?
Binafsi watu hawa waelemishwe wajue sifa walizonazo kwanza, hii ni sawa na nurse attendants, co anayelalamikia mshahara mdogo pia kwa kujilinganisha na madaktari waliopata division i form iv na form vi na kwenda kozi miaka 6.
Binafsi hawa ndio wanaotakiwa kusikilizwa zaidi maana ndio wanaopunjwa na mfumo wa uchumi wetu.
watu hawalipwi kwa kipimo cha kufaulu bali kwa kazi waifanyayo. wewe unashindwa kujua kuwa mtu akishakuwa mwalimu anaweza kwa muda mfupi akawa na maarifa makubwa sana ya kile anachofundisha kwa sababu atakuwa akiyasoma na kuyajifunza na kisha hubobea. ushahidi upo ukienda vyuo vikuu utakuta walimu ambao wamefkia hata uprofesa lakini walianzia na cheti. wewe unampima mtu si kwa kiwango alichonacho sasa bali kwa mambo ya zamani. je, wewe hukufundishwa na walimu? na je, hao walikuwa maprofesa tangu ukiwa chekechea? acha kudarau na kukejeli. hoja yako ni ya kimbea zaidi na haina mshiko ni bora uombe msamaha. kwa sababu wapo wengi wanalipwa vipato vikubwa lakini si kwa sababu wana div. i au iiMigomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi?
Yeye ni form 1V division IV point 28 na wengine ni darasa la saba (UPE), wakaenda kozi ya ualimu wiki 4-6, hivi wanategemea miujiza gani kwenye mishahara yao?
Binafsi watu hawa waelemishwe wajue sifa walizonazo kwanza, hii ni sawa na nurse attendants, CO anayelalamikia mshahara mdogo pia kwa kujilinganisha na madaktari waliopata division I form IV na form VI na kwenda kozi miaka 6.
huu ni ukweli mtupu na mfumo wetu ni kwamba the harder u work in class the higher ur pay,sasa hawa waalimu ni failures,watatakaje walipwe sawa na waliofaulu,huu ukweli wanasiasa hawawezi kuwaambia,lkn ukweli ni kuwa hawakupata marks za juu darasani.Migomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi?
Yeye ni form 1V division IV point 28 na wengine ni darasa la saba (UPE), wakaenda kozi ya ualimu wiki 4-6, hivi wanategemea miujiza gani kwenye mishahara yao?
Binafsi watu hawa waelemishwe wajue sifa walizonazo kwanza, hii ni sawa na nurse attendants, CO anayelalamikia mshahara mdogo pia kwa kujilinganisha na madaktari waliopata division I form IV na form VI na kwenda kozi miaka 6.
Binafsi hawa ndio wanaotakiwa kusikilizwa zaidi maana ndio wanaopunjwa na mfumo wa uchumi wetu.
Nilipigwa ban refu ndio narudi leo lakini wewe *****ge naona unanitafutia kufungiwa kabisa hapa jf
Ha ha ha kama ni matusi nimeyapata kwa kuanzisha hii thread, huu ni ushahidi tosha kuwa tumefundishwa na walimu ambao sio. matusi kejeli na vitimbi haviondoi ukweli kwamba walimu wengi ni vihiyo "unfit for the job", hence poor quality output. let us group teachers basing on merits and quality of their output. Unajua ni bora ya pengo kuliko jino bovu. Bora ijulikane hatuna walimu kuliko kuwa na walimu wa division IV point 28 (failures). Hawatusaidii kitu hawa, walikuwa watoro darasani, waliwapiga walimu wao manati hawa, ualimu halikuwa chaguo lao wamelazimishwa na ukilaza wao. Tulipokuwa enzi zetu hatuna walimu shuleni tulipata walimu kutoka Marekani, Japan, Urusi, Zimbabwe (wakimbizi), uingereza and Scandinavian countries kuja kutusaidia kujaza nafasi, we were much better academically. Kuwa-praise hawa walimu ni kutengeneza graduates wakaanga chips tu mjini na watu wasioweza kufikiri sawasawa. Ona vijana wetu wanashindwa hata kupanga miji yetu ipendeze, wanatoa double allocation ya viwanja, mikataba ya madini haieleweki, vijana wanakimbia vijijini kwenye ardhi tele ya kulima na kufuga na kwenda mijini kuajiriwa na kutembeza mashati. Mwalimu hafundishi darasani zaidi ya kulalamikia madeni aliyokopa mwenyewe Bypot, NMB, FINCA, na kwa wafanyabiashara. Nadhani Tunahitaji Ma DC wengi wa aina ya MNALI. Juzi nilikuwa South Africa na timu ya wataalamu wetu (maprofessor) kwenye conference fulani, ukiangalia quality ya paper wanazopresent wasomi wetu ziko below standard, wanasoma between the lines word after word kazi zao wenyewe. Umeme ukikatika nayeye anastop hapohapo kutoa mada. Mimi simo
Migomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi?