Mwalimu huyu hapa

Mwalimu huyu hapa

kopozi

Senior Member
Joined
May 30, 2014
Posts
136
Reaction score
22
Habari Wakulu

Mimi ni kijana mtanzania,nimehitimu shahada yangu ya kwanza BAED (linguistics and literature) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Niko hapa nikiomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kusaidia nikapata kazi aweze kunisaidia

Masomo yangu ya kufundishia ni kama nilivoainisha hapo juu

Tafadhali kwa wenye kusaidia
0753 312 807

ASANTENI SANA
 
Back
Top Bottom