Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,733
RIP Mwl. Mwombeki. Lakini pia ningependa kujua kama huyu Mwombeki anayezungumziwa hapa ndo yule niayemfahamu mimi. Bahati mbaya nilikuwa najua jina moja la Mwombeki. Lakini huu ninaye mjua mimi aliuwapo Boys mpaka miaka ya mwanzoni mwa 2000 tofauti na muda aliosema mtoa taarifa wa 1980's to 1990's. Alikuwa anafundisha hesabu A-Level tena alikuwa bingwa wa hesabu maana kwajinsi alivyokuwa anashuka vitu hutamani kukosa kipindi chake. Ningependa kujulishwa na mtoa mada au mwingine mwenye taarifa kama ndiye hoyo anayezungumziwa. Lakini pia hii habari ingepelekwa kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko maana hii si habari ya kisiasa na wala huyo sidhani kama alikuwa mwanasiasa. Once again RIP Mwl. Mwombeki
=======RIP Mwl. Mwombeki. Lakini pia ningependa kujua kama huyu Mwombeki anayezungumziwa hapa ndo yule niayemfahamu mimi. Bahati mbaya nilikuwa najua jina moja la Mwombeki. Lakini huu ninaye mjua mimi aliuwapo Boys mpaka miaka ya mwanzoni mwa 2000 tofauti na muda aliosema mtoa taarifa wa 1980's to 1990's. Alikuwa anafundisha hesabu A-Level tena alikuwa bingwa wa hesabu maana kwajinsi alivyokuwa anashuka vitu hutamani kukosa kipindi chake. Ningependa kujulishwa na mtoa mada au mwingine mwenye taarifa kama ndiye hoyo anayezungumziwa. Lakini pia hii habari ingepelekwa kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko maana hii si habari ya kisiasa na wala huyo sidhani kama alikuwa mwanasiasa. Once again RIP Mwl. Mwombeki
RIP Kabalimu,RIP Mwl. Mwombeki. Lakini pia ningependa kujua kama huyu Mwombeki anayezungumziwa hapa ndo yule niayemfahamu mimi. Bahati mbaya nilikuwa najua jina moja la Mwombeki. Lakini huu ninaye mjua mimi aliuwapo Boys mpaka miaka ya mwanzoni mwa 2000 tofauti na muda aliosema mtoa taarifa wa 1980's to 1990's. Alikuwa anafundisha hesabu A-Level tena alikuwa bingwa wa hesabu maana kwajinsi alivyokuwa anashuka vitu hutamani kukosa kipindi chake. Ningependa kujulishwa na mtoa mada au mwingine mwenye taarifa kama ndiye hoyo anayezungumziwa. Lakini pia hii habari ingepelekwa kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko maana hii si habari ya kisiasa na wala huyo sidhani kama alikuwa mwanasiasa. Once again RIP Mwl. Mwombeki