Mwalimu Julius Nyerere alivyochukua uongozi wa TAA 1953

Mwalimu Julius Nyerere alivyochukua uongozi wa TAA 1953

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Leo jioni nimetembelewa na vijana wawili Muyuni Joseph na Comred Mbwana Cameroo Allyamtu.

Nimefanya mazungumzo na vijana hawa wasomi na waandishi wazuri ambao hatukupata kujuana ila katika maandishi na leo ndiyo mara yetu ya kwanza kutiana machoni.

Tumezungumza mengi katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika na wameniuliza maswali muhimu siku hizi wanaita, ''chokonozi,'' yaani maswali yanayozua mengi ambayo hayakupatapo kuwa wazi kabla na katika majibu yake ndipo kurasa mpya hufunguka.



1570224627694.png
 
Back
Top Bottom