Huyo fal,a wakuitwa mwalimu mkuu afikishwe mbele ya vyombo vya dola akajibu tuhuma za udhalilishaji na kutweza utu wa mtoto.
Yaani mambo ya kufungana minyororo kama zama za utumwa zinafanywa karne hii ya utandawazi?
Nitakuwa wa mwisho kuamini kama huyo mwalimu mkuu atakuwa bado yupo ofisini hadi muda huu.
Wazazi hakikisheni mnafuatilia maendeleo ya watoto wenu wanatendewa unyama mwingi sana.