HAUPO vizuri kichwani bro. nani afukuzwe kati ya anayetoza michango feki isiyotambuliwa na wizara ya elimu na bodi ya shule au mwanafunzi anayedai haki yake? yani tutozwe shilingi laki moja na tisini elfu kisa nimechelewa kuripoti shule,nifukuzwe shule kwa kumkataa mkuu wa shule anayenitoza shilingi elfu hamsini tena kupitia MPESA YA MKEWE,NIFUKUZWE SHULE KISA NATAKA UTHIBITISHO WA MKUU WA SHULE KUNIITA SHOGA MBELE YA MZAZI? KAKA TAFADHARI WEWE NI EX-ILBOLIAN WA AINA GANI,TUMETOZWA PESA KWA UKARABATI WA BUS LA SHULE HEWA AMBALO HATA MHANDISI WA HALMASHAURI HALIFAHAMU NA WAKATI HUOHUO LIKIPGA MZIGO MTAANI? NIFUKUZWE SHULE KWA SABABU IPI SASA?KAMA BODI YA SHULE TUMEIOMBA TUKUTANE NAYO ZAIDI YA MARA KUMI LAKINI WALIKAZA UBONGO,MKUU WA WILAYA TUMEKUTANA NAE ZAIDI YA MARA TATU TENA HUYU MGENI ACHILIA MBALI YULE ALIYEHAMISHWA, LAKINI UFUATILIAJI WAKE ZERO,TUMEONANA NA MKUU WA MKOA WAKATI ULE AKIWA NI ISIDORI LAKINI WAPI,SASA NANI AFUKUZWE?:crying::crying: