TANZIA Mwalimu mkuu Msaidizi wa Shule ya Sekondari Lake, Charles Katoma afariki dunia

TANZIA Mwalimu mkuu Msaidizi wa Shule ya Sekondari Lake, Charles Katoma afariki dunia

KASULI

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
599
Reaction score
677
Aliyewahi kuwa Mtangazaji wa SAHARA MEDIA Mwal Charles Katoma Amefariki Dunia. Mpaka anafikwa na umauti Mwalimu Katoma alikuwa mwalimu mkuu Msaidizi wa Shule ya Sekondari Lake iliyoko jijini Mwanza.

BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE Libarikiwe.

IMG-20210429-WA0123.jpg
 
Dah huyu mzee kavuta? So sad nitamiss sana uaomaji wake wa taarifa ya Habari StarTv
 
Back
Top Bottom