Mwalimu/Mlezi wa Day Care center anahitajika

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,290
Habari! Mwalimu /mlezi anahitajika

Shule: Tiger Day Care

Wapi: Dar- kinondoni-kawe

Sifa: Awe amesomea uwalimu/ au malezi , awe anajua kingereza vizuri na nyimbo nyingi za watoto, upendo kwa watoto.

Jinsia: Awe wa kiume au kike ,umri awe kijana

Sharti: Awe anaongea kingereza muda wote

Darasa: Baby - top class.

Mshahara: 150000

Mawasiliano: 0625-959542
 
Tunashindwa kuwasambazia ndugu na jamaa zetu kwa sababu huo mshahara hujaufafanua kuwa ni wa mwezi/wiki/siku.

Kiufupi taarifa haijajitosheleza

Hiyo 150k kuna watu wanaitafuta kwa jasho na hawaipati, kama kuna mtu wako wa karibu muunganishe
 
Kuna wakati tunatakiwa tuwe serious na maisha ya watu.

Kwa mshahara huo ukilinganisha na kazi yenyewe, hapana. Ulezi sio kazi rahisi hata kidogo.

Otherwise hiyo 150k itolewe maelezo ya kutosha.
Nawasilisha
 
Habari! Mwalimu /mlezi anahitajika

Shule: Tiger Day Care

Wapi: Dar- kinondoni-kawe

Sifa: Awe amesomea uwalimu/ au malezi , awe anajua kingereza vizuri na nyimbo nyingi za watoto, upendo kwa watoto.

Jinsia: Awe wa kiume au kike ,umri awe kijana

Sharti: Awe anaongea kingereza muda wote

Darasa: Baby - top class.

Mshahara: 150000

Mawasiliano: 0625-959542

150k tena kazi ya kulea vitoto dah mwishoe
Anakuwa anakunywa uji wa watoto au hawap chakula watoto
Hiv viday care vya siku hizi ni hovyo sana Na vimekuwa vingi kila kona
Kam 150k hyo hela ndogo sana mtafanya vitoto vipigwe na kutopewa chakula
 
Kwanza kuongea kiingereza muda wote mshahara laki 5 achilia mbali majukumu mengine mshahara hapo uwe laki 8.
 
150k tena kazi ya kulea vitoto dah mwishoe
Anakuwa anakunywa uji wa watoto au hawap chakula watoto
Hiv viday care vya siku hizi ni hovyo sana Na vimekuwa vingi kila kona
Kam 150k hyo hela ndogo sana mtafanya vitoto vipigwe na kutopewa chakula

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Habari! Mwalimu /mlezi anahitajika

Shule: Tiger Day Care

Wapi: Dar- kinondoni-kawe

Sifa: Awe amesomea uwalimu/ au malezi , awe anajua kingereza vizuri na nyimbo nyingi za watoto, upendo kwa watoto.

Jinsia: Awe wa kiume au kike ,umri awe kijana

Sharti: Awe anaongea kingereza muda wote

Darasa: Baby - top class.

Mshahara: 150000

Mawasiliano: 0625-959542
Mtanzania aongee Kiingereza muda Wote?
 
Back
Top Bottom