TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
Tunashindwa kuwasambazia ndugu na jamaa zetu kwa sababu huo mshahara hujaufafanua kuwa ni wa mwezi/wiki/siku.
Kiufupi taarifa haijajitosheleza
Sijakataa kumuunganisha lakini nitashindwa kumpa maelezo kwamba mshahara ni kiasi gani ndio maana nimeuliza ni daily, weekly au monthlyHiyo 150k kuna watu wanaitafuta kwa jasho na hawaipati, kama kuna mtu wako wa karibu muunganishe
Habari! Mwalimu /mlezi anahitajika
Shule: Tiger Day Care
Wapi: Dar- kinondoni-kawe
Sifa: Awe amesomea uwalimu/ au malezi , awe anajua kingereza vizuri na nyimbo nyingi za watoto, upendo kwa watoto.
Jinsia: Awe wa kiume au kike ,umri awe kijana
Sharti: Awe anaongea kingereza muda wote
Darasa: Baby - top class.
Mshahara: 150000
Mawasiliano: 0625-959542
Kwanza kuongea kiingereza muda wote mshahara laki 5 achilia mbali majukumu mengine mshahara hapo uwe laki 8.150k tena kazi ya kulea vitoto dah mwishoe
Anakuwa anakunywa uji wa watoto au hawap chakula watoto
Hiv viday care vya siku hizi ni hovyo sana Na vimekuwa vingi kila kona
Kam 150k hyo hela ndogo sana mtafanya vitoto vipigwe na kutopewa chakula
150k tena kazi ya kulea vitoto dah mwishoe
Anakuwa anakunywa uji wa watoto au hawap chakula watoto
Hiv viday care vya siku hizi ni hovyo sana Na vimekuwa vingi kila kona
Kam 150k hyo hela ndogo sana mtafanya vitoto vipigwe na kutopewa chakula
Mtanzania aongee Kiingereza muda Wote?Habari! Mwalimu /mlezi anahitajika