Mwalimu mmoja apangiwa sehemu mbili tofauti

Mwalimu mmoja apangiwa sehemu mbili tofauti

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Hapa ndipo mishahara hewa inapoanzia. Nchi yetu bado sana hii.

jamaa ana shahada ya ualimu, baada ya ajira kutoka imeonekana kuwa jina lake lipo zaid ya mara moja
ikiwa ni pamoja na taarifa zote zioneshazo kuwa post zote hizo 2 zinamhusu yaan jina lake, anuani ya sehem anayotoka, chuo alichosoma pamoja na masomo aliyosoma. kapangiwa Dodoma mjini, pia Kigoma vijijini.
Hivi kwa hali kama hii anapaswa kufanya nini?
 
Mmmh si bora huyo hapo anachagua sehemu moja kati ya hizo ! Kuna watu siku post zilipotoka waliona mchana kuwa wapo sehemu flani usiku baada ya kuangalia tena wamekuta yamebadilika wamepelekwa sehemu nyingine ! Hadi leo wanalalama !!! Hii ndo Tz bwana full mchakachuo !
 
Tamisemi tunataka majibu katika hili.......???
 
Ni kawaida kwa nji hii,right kama booklets za Necta zilisosahihishwa zingekuwa zinarudishwa shuleni watu wangekuwa wanakata rufaa mwaka mzima kwa kuonewa. Hii umeona kwa kuwa liko wazi yaliyochumbani ni balaa tupu. Soma majina ya watu waliopelekwa vioni kwa jicho la tatu kisha utapata picha Tanzania ilivyo kwa sasa.
 
mkuu unamaanishaaaa..........................?
 
Hali hii mpaka lin jaman?, wengine wanapangiwa vituo viwili, wengine hawapangiw kabisa hatar
 
Mmmh si bora huyo hapo anachagua sehemu moja kati ya hizo ! Kuna watu siku post zilipotoka waliona mchana kuwa wapo sehemu flani usiku baada ya kuangalia tena wamekuta yamebadilika wamepelekwa sehemu nyingine ! Hadi leo wanalalama !!! Hii ndo Tz bwana full mchakachuo !

Hilo dogo kuna mtu hakufanya mtihani kabisa lakini kapangiwa kituo cha kazi!!hii ndo tz yetu!
 
mm wamenishangaza kuna dogo alimaliza miaka ya nyuma ametuma maombi mwaka jana kwa njia ya posta hawajamwajiri na ni wa science huku waziri kila siku anasema kuna uhaba wakiapply hamuwapangii na amequalify kila kitu ....this wizara bana ...
 
Huo ndo mwendo wa BIG RESULT NOW yaan wizara inafanya hovyo kila sehemu.
 
Acheni mbwembwe! Weka attachments ili tujue kama ni kweli! Kulalama tu haisaidii.
 
mm wamenishangaza kuna dogo alimaliza miaka ya nyuma ametuma maombi mwaka jana kwa njia ya posta hawajamwajiri na ni wa science huku waziri kila siku anasema kuna uhaba wakiapply hamuwapangii na amequalify kila kitu ....this wizara bana ...

Hao hawatakiwi sababu post zao zilipo toka hawakwenda vituo vya kazi wakabaki kufanya kazi shule binafsi baada ya mambo kuwabana wanataka ajira ya serikali wakati walipona ina mshahara mdogo.... Hao kwakweli hawapangiwi vituo kabisa kwa sasa....
 
Unachokisema ni kweli, kunabaadhi ya watu wanatumia mwanvuli wa sayansi kufanya mambo ya hovyo. Mtu anapangiwa kituo anakwenda kukomba pesa ya kuripoti kisha anatoroka na kwenda shule binafsi kisa yeye ni mzee wa physics mathematics au chemistry biology. Huu si ungwana hata kidogo na tamaa mbaya jamani. Serikali iweke strong data base kwa walimu wanao ripoti alishapewa pesa ya kujikimu tu anarekodiwa kwenye cd maalumu ili akitoweka kazini siku akiomba upya jina linakuwepo kwenye kumbu kumbu wasimuajiri au wamuajiri ila hapewi pesa ya kujikimu pamoja na kukatwa mshahara wa kwanza kama riba ya pesa aliyotokomea nayo mwanzoni. Mfano. Kuna jamaa ameandika uzi humu unasema "ualimu aliupenda ila kwa kuwa amepangiwa serengeti, na yeye mwalimu wa sayansi basi ujasiriamali umempenda zaidi".
 
Back
Top Bottom