Ni kawaida kwa nji hii,right kama booklets za Necta zilisosahihishwa zingekuwa zinarudishwa shuleni watu wangekuwa wanakata rufaa mwaka mzima kwa kuonewa. Hii umeona kwa kuwa liko wazi yaliyochumbani ni balaa tupu. Soma majina ya watu waliopelekwa vioni kwa jicho la tatu kisha utapata picha Tanzania ilivyo kwa sasa.
Mmmh si bora huyo hapo anachagua sehemu moja kati ya hizo ! Kuna watu siku post zilipotoka waliona mchana kuwa wapo sehemu flani usiku baada ya kuangalia tena wamekuta yamebadilika wamepelekwa sehemu nyingine ! Hadi leo wanalalama !!! Hii ndo Tz bwana full mchakachuo !
mm wamenishangaza kuna dogo alimaliza miaka ya nyuma ametuma maombi mwaka jana kwa njia ya posta hawajamwajiri na ni wa science huku waziri kila siku anasema kuna uhaba wakiapply hamuwapangii na amequalify kila kitu ....this wizara bana ...