Ndugu mwanakijiji, Hata hatua ya Kutupatia hii taarifa inatosha, Inatusaidia kujua hali halisi ya watanzania wenzutu hasa walioko vijijini kabisa. Mi naamini kwa Kuileta hii shule mbele ya jamii ni msaada tosha kwani naamini wahusika watapata habari na kulifanyia kazi! sio kazi ya chadema kupeleka walimu kule ni kazi ya serikali ya CCM.Chadema walichukua jukumu gani kuisaidia hiyo shule?
Chadema walichukua jukumu gani kuisaidia hiyo shule?