Tunagombania viti na wanafunzi vya kukalia ofisini, msosi wa walimu unaletwa tunajisevia katika karatasi kama ndio vyombo, pia kuna madai mkuu ana watu wake special kila mwaka ndio anawapa hao hao kazi maalumu kama kusimamia mitihani ya taifa, na mengine mengi tu