TANZIA Mwalimu Mrs. Prosscovier Luhaga afariki Dunia

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Tuliowahi Kusoma Kibaha Boys, wale Wa Kibaha Girls, na Tumbi Sekondari Watakuwa Wanamkumbuka Mkuu Wa Shule Ya Wasichana Kibaha na Pia Mkuu Wa Shule Ya Sekondari Tumbi.

Mwl.Prosscovier K. Luhaga amefariki Jana na Msiba Uko Kwake Kibaha, Picha Ya Ndege

Mme Wa Marehemu Mzee. Luhaga Aliwahi Kunifundisha Kemia Wakati Nasoma Kibaha Boys.

R.I.P. Mrs Luhaga

 
mm mkuu kaserenge alikuwa mkuu wa shule mwakagani nakumbuka kama mimi nilimuacha mwalimu wa kawaida na nasikia baada ya mwampaja alikuwa Kayenga YULE ALIKUWAGA MWALIMU WA CHEMISTRY na mwalimu wa taaluma
Si Ndio KK(Kayenge Kaserenge) Alikuwa anafundisha Kemia Pamoja Na Luhaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…