TANZIA Mwalimu Mrs. Prosscovier Luhaga afariki Dunia

Ila rekebisha taarifa yako kidogo huyu mama kafariki kama siku 3 zilizopita

Na ndo watu walizusha kuwa ni mke wa Profesa LUHANGA wakichanganya na huyu mama LUHAGA wa kibaha

Mimi nna urafiki na Familia zote mbili niliuliza humu somewhere siuoni ule uzi

Apumzike kwa amani mama Dietrich

Cc Mshana Jr
 
Yes amefariki trh. 16 Jzi... Asante Kwa Marekebisho. John Luhaga Ni Rafiki Yangu Sana
 
Picha na uso wake kwa ujumla anaonekana kabisa ni mwalimu...
 
Dah Kibaha Boys my former camp, some great memory. RIP mama Luhaga, mume wake alitufundisha kemia ila kwa muda mfupi sana. Mwampaja namkumbuka tulimkuta pale tulipoingia form five ila ndiyo alikuwa anajiandaa kuondoka alafu akaingia huyo Kayenga.
 
Hivi Luhaga ndio Abacha? maana miaka imeenda kichwa kimebakia na a.k.a za waalimu, majina yao halisi hatukuyatumia sana wakati huo
 
RIP Madame
At our time She was academic Mistress while Mr was Discipline Master under Mr Msaky as head Master
Those old good days
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…