johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tunaomba msimu mpya upite na huu muungano uchwara wa Tanganyika na Zanzibar. Tanganyika ijitegemee na visiwa navyo vijitegemee pamoja na umeme wake, maji yake, chakula chake. Ni kwa nini muungano uchwara? Mzanzibar akienda bara ana ruhusa ya kumiliki ardhi huko bara lakini Mtanganyika akienda visiwani hana ruhusa ya kumiliki ardhi. Kadhalika Mtanganyika hana haki ya kuajiriwa Zanzibar lakini Mzanzibar ana haki ya kuajiriwa Tanganyika. Bata wahed!Haya yanayoanza kutokea sasa yalishatabiriwa na mwalimu Mwakasege na alitutaka Wana wa Mungu wa mbinguni tuwe tuyari kupokea msimu mpya
Trump anasema Hata UN ni Muhimili wa uovu tu Kwa sababu badala ya kutatua Hata migogoro midogo kama ya Congo wao ndio wanaikuza Ili waendelee Kula Michango ya nchi Wanachama
Aidha Trump amesema Taasisi za Kimataifa kwa makusudi huwa danganya Viongozi wa Africa Uchumi wao unakua kwa asilimia kubwa ilhali wananchi wa nchi hizo ni maskini wa kutupwa
Kuanzia Sasa mimi Yohanne nitajikita kugombea Tanganyika na Zanzibar Ili Mungu wa Mbinguni azidi Kutukumbuka na kutubarikia
Jumaa Mubarak π
Tangu 1977 ππza ndani bro una shindia shati la ccm
Dah mwili wako ume teseka mda mrefu, kwa kubeba fuvu tupu.Tangu 1977 ππ
Hivi kwa nini hueshim wakubwa zakoDah mwili wako ume teseka mda mrefu, kwa kubeba fuvu tupu.
yaani tangu sija zaliwa wewe ni chawa, hadi leo una imba taarab ili tu ushibe. country bumpkin π€£
Ndio Ujue CCM itatawala milele kwa sababu Wewe ukiwa kwenye mbilimbi babako alikuwa mwanaccm π€£π€£Dah mwili wako ume teseka mda mrefu, kwa kubeba fuvu tupu.
yaani tangu sija zaliwa wewe ni chawa, hadi leo una imba taarab ili tu ushibe. country bumpkin π€£
Trump amekasirika sana na haya madata ya Uwongo πΌπNdiyo mama yenu hapa kila siku anadanganywa uchumi umekua sijui unapaa lakini watu ni maskini wa kutupwa
Hili swali halijadiliki sijui kuna nini hapo kati.Tunaomba msimu mpya upite na huu muungano uchwara wa Tanganyika na Zanzibar. Tanganyika ijitegemee na visiwa navyo vijitegemee pamoja na umeme wake, maji yake, chakula chake. Ni kwa nini muungano uchwara? Mzanzibar akienda bara ana ruhusa ya kumiliki ardhi huko bara lakini Mtanganyika akienda visiwani hana ruhusa ya kumiliki ardhi. Kadhalika Mtanganyika hana haki ya kuajiriwa Zanzibar lakini Mzanzibar ana haki ya kuajiriwa Tanganyika. Bata wahed!
Haya yanayoanza kutokea sasa yalishatabiriwa na mwalimu Mwakasege na alitutaka Wana wa Mungu wa mbinguni tuwe tuyari kupokea msimu mpya
Trump anasema Hata UN ni Muhimili wa uovu tu Kwa sababu badala ya kutatua Hata migogoro midogo kama ya Congo wao ndio wanaikuza Ili waendelee Kula Michango ya nchi Wanachama
Aidha Trump amesema Taasisi za Kimataifa kwa makusudi huwa danganya Viongozi wa Africa Uchumi wao unakua kwa asilimia kubwa ilhali wananchi wa nchi hizo ni maskini wa kutupwa
Kuanzia Sasa mimi Yohanne nitajikita kuombea Tanganyika na Zanzibar Ili Mungu wa Mbinguni azidi Kutukumbuka na kutubarikia
Jumaa Mubarak
Jamaa ameamua kutuamsha, huwezi kuwa mjinga kiasi hiki una tanzanite, madini ya kila aina, gas, makaa ya mawe, mbunga za wanyama, misitu, mito, mabwawa, bahari, maziwa, mifugo ya kutosha, ardhi nzuri ya kilimo, milima n.k lakini umeshindwa kuongoza watu kumudu huduma za msingi, huo ni ujinga na wendawazimu, kutwa kujisifu kupokea misaada na mikopo ajili ya kununua mashangingi, kulipana posho nono na wizi wa mali za umma. Go Trump tunataka hawa wajinga waamkeTrump amekasirika sana na haya madata ya Uwongo πΌπ
Kwa aina ya viongozi hawa wajinga tulio nao ni ngumu snIla kwa haya yanayoendelea, huu ndio ulikuwa muda sahihi Afrika kujikomboa, japo kutakuwa na njia ngumu sana kuyafikia lakini kwa mtaxamo wangu huu ndio ilikuwa njia sahihi.
Kwanza hapa ndio Afrika ilitakiwa kuungana, kuikataa misaada kwa vitendo kila mtu abaki na chake.
Ninaamini kama tungeukana na kuwekeza nguvu, kwa dunia ilipofikia sidhani kama tutashindwa kutengeneza ndege, television, simu, magari na N. K
Tungeacha unafiki na kubaki na afrika yetu tujipambanie wenyew, japo tutapitia maisha ya shida lakini baada ya miaka 20 huko mbeleni mwangaza ungeonekana kila mtu angejivunia chake.
Hii misaada ndio inayotudumaza, lakini je tutaweza kuwa kitu kimoja??? Tutaweza kujitoa kweny shikiwa akili? Sio SA kanyimwa misaada ila wewe wa Angola unapokea, je unafiki huu tutaumudu??.
KWA HAYA YANAYOENDELEA KWA MTAZAMO WANGU NDIO PALIKUWA SAHIHI KUJIKOMBOA KWA AFRIKA
Kwahiyo unataka kusema sisi hatukufika uchumi wa kati...?Haya yanayoanza kutokea sasa yalishatabiriwa na mwalimu Mwakasege na alitutaka Wana wa Mungu wa mbinguni tuwe tuyari kupokea msimu mpya
Trump anasema Hata UN ni Muhimili wa uovu tu Kwa sababu badala ya kutatua Hata migogoro midogo kama ya Congo wao ndio wanaikuza Ili waendelee Kula Michango ya nchi Wanachama
Aidha Trump amesema Taasisi za Kimataifa kwa makusudi huwa danganya Viongozi wa Africa Uchumi wao unakua kwa asilimia kubwa ilhali wananchi wa nchi hizo ni maskini wa kutupwa
Kuanzia Sasa mimi Yohanne nitajikita kuombea Tanganyika na Zanzibar Ili Mungu wa Mbinguni azidi Kutukumbuka na kutubarikia
Jumaa Mubarak π
Zilikuwa kamba tu za World bank πKwahiyo unataka kusema sisi hatukufika uchumi wa kati...?
Hao wanao kutawala watakwambia uchumi unakua wakati wewe huna chakula na mfukoni hakuna kitu yaani Giza, (tanzagiza)Haya yanayoanza kutokea sasa yalishatabiriwa na mwalimu Mwakasege na alitutaka Wana wa Mungu wa mbinguni tuwe tuyari kupokea msimu mpya
Trump anasema Hata UN ni Muhimili wa uovu tu Kwa sababu badala ya kutatua Hata migogoro midogo kama ya Congo wao ndio wanaikuza Ili waendelee Kula Michango ya nchi Wanachama
Aidha Trump amesema Taasisi za Kimataifa kwa makusudi huwa danganya Viongozi wa Africa Uchumi wao unakua kwa asilimia kubwa ilhali wananchi wa nchi hizo ni maskini wa kutupwa
Kuanzia Sasa mimi Yohanne nitajikita kuombea Tanganyika na Zanzibar Ili Mungu wa Mbinguni azidi Kutukumbuka na kutubarikia
Jumaa Mubarak π
ππHao wanao kutawala watakwambia uchumi unakua wakati wewe huna chakula na mfukoni hakuna kitu yaani Giza, (tanzagiza)
Nijuavyo mimi mikopo hudumaza akiliJamaa ameamua kutuamsha, huwezi kuwa mjinga kiasi hiki una tanzanite, madini ya kila aina, gas, makaa ya mawe, mbunga za wanyama, misitu, mito, mabwawa, bahari, maziwa, mifugo ya kutosha, ardhi nzuri ya kilimo, milima n.k lakini umeshindwa kuongoza watu kumudu huduma za msingi, huo ni ujinga na wendawazimu, kutwa kujisifu kupokea misaada na mikopo ajili ya kununua mashangingi, kulipana posho nono na wizi wa mali za umma. Go Trump tunataka hawa wajinga waamke