Walimu katika shule ya sekondar kahunga wilayan kasulu mkoan kigoma wamepata choo kipya cha kudum baada ya kutumia choo cha nyasi ful sut juu chin nyasi kwa muda wa miaka 6. shule hiyo ambayo ina walimu wanne tu wa kuajiliwa na serikal hali ilikua mbaya muda wa kwenda choon kipindi cha mapumziko iliwabid walimu wasubiri watoto warud madarasan ndio waingie choon.