Mwalimu na Mwanafunzi sio poa!

Mwalimu na Mwanafunzi sio poa!

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Snapinsta.app_432856961_1371567544237868_9021466645251086307_n_1080.jpg
 
Mungu angekuwa anatengeneza watu kwa pair, mkifikia umri wa kuoa/kuolewa mnajkuta mmepatana tu

ingekua poa

kusingekua na mambo ya maex, jua kuzama, michepuko nk

anapenda kuona watu wanateseka, sijui yupoje
Mpango wa Mungu uko Sawa na hauna shida.. shida ipo kwetu sisi binadamu.
Wewe ni kijana mdogo, ama binti mdogo. Unayaparamia Mapenzi Kaba ya wakati. Utaachaje kuwa na Ex kibao.....?
Unaonjwa onjwa tu, kijana anachovya chovya tu. Ex hakwepeki.
Tulia mpaka muda sahihi, Mungu atakupa wa kufanana nawe.
 
Back
Top Bottom