[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120]
Mkuu unawaza nini aisee duhmungu angekuwa anatengeneza watu kwa pair, mkifikia umri wa kuoa/kuolewa mnajkuta mmepatana tu
ingekua poa
kusingekua na mambo ya maex, jua kuzama, michepuko nk
anapenda kuona watu wanateseka, sijui yupoje
Mpango wa Mungu uko Sawa na hauna shida.. shida ipo kwetu sisi binadamu.Mungu angekuwa anatengeneza watu kwa pair, mkifikia umri wa kuoa/kuolewa mnajkuta mmepatana tu
ingekua poa
kusingekua na mambo ya maex, jua kuzama, michepuko nk
anapenda kuona watu wanateseka, sijui yupoje