Endo agar
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 487
- 334
"Sehemu kubwa sana za nchi yetu,zimekwisha kuchukuliwa na wageni,hatujapata kudai kwamba wanyang'anywe ardhi iyo.Lakini tumedai kwamba muda wa miaka 99 ni muda mrefu mno wa kukodisha ardhi kwa wageni,katika miaka 99 tanganyika itakuwa na watu zaidi ya mara tatu ya waliomo sasa" Mwl Nyerere,1955.