Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
Jamani natumaini mu wazima wa afya;Naombeni ushauri katika hili....
Kwa sasa Mimi ni mwalimu mpya nimeajiriwa katika halmashauri ya Ikungi Singida mwaka huu..(japo ni mwezi wa 3 sasa sijalipwa mshahara)tuachane na hayo..
Kuna post nmeona mtandaoni ambayo naona ninafit vigezo vyake nataka ku 'apply' sasa utata wangu ni namna gani niandike barua ile... ??
Je niandike kule ninapoomba post hio kupitia kwa Mwajiri wangu wa sasa??ambae ni Mkurugenzi wa halmashauri ya Ikungi singida??kama maelekezo ya post ile yanavyotaka kwa mtu ambae ni mwajiriwa???!! AU tu nijifanye kama ni Fresh graduate tu??na sio kama nimeshaajiriwa..
Utata ni kwamba naweza kuandika maombi yale kupitia kwa mwajiri wangu wa sasa na Akakataa kuipitisha kutokana na sababu anazojua yeye kwa sababu mkataba na halmashauri tulishajaza tangu tunaripot...na Unajua wakurugenzi wanavyoringa.kupitisha .mambo kama haya...Lakini Upande wa pili nkiandika barua ile ya maombi kupitia kwa mwajiri wangu itasaidia kuonesha kwamba nina ka 'uzoefu' japo kidogo katika ualimu huenda ikaniongezea CREDIT katika kupata nafasi ile nayotaka kuiomba sasahivi..endapo mkurugenzi akiipitisha barua yangu..kwa sababu post inahitaji watu waliosoma mambo ya Psychology na kama mnavojua mwalim lazima asome mambo kama hayo..
Sasa nifanyaje hapo??
a)Niombe nafasi ile as a fresh graduate?
b)Niombe nafasi ile as mwajiriwa(mwalimu) tayari??
Karibuni kwa mawazo yenu Mungu awabariki