Aliloandika hata mimi hapa kijijini kwetu sijawahi kusikia...Mwalimu Nyerere hakuwahi kunyimwa visa, acheni kumsingizia.
Kabisa lo
Mjalaana sa100Mnahaha sana mkuu
23 Septemba SAMIA MUST GO
Nikifa nisisifiwe uongo...Kabisa lo
Marehemu hasemwi kihivo
Aliloandika hata mimi hapa kijijini kwetu sijawahi kusikia.
Mleta hoja kaambiwa aoneshe ushahidi amedai tuendelee kuperuzi tu.Tutaona humohumo...Wakati wa kudai UHURU Wakoloni wa Kiingereza walimchongea ili Wamarekani wamnyime visa.
..Wamarekani wakampa Mwalimu Nyerere visa yenye masharti iliyomuwezesha kwenda UN kudai uhuru wa TANGANYIKA.
Kupewa visa ya masharti ni tofauti na kunyimwa visa. Tofautisha ndugu yangu. Visa zote za kila nchi zina masharti yake. hata za kwetu Tanzania zina masharto yake.Tunapoelekea katika mwezi wa kumbukizi ya Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni vyema kutafakari kila neno alilowahi kulitoa.
Katika moja ya hotuba zake kwa wanahabari aliwahi kugusia madhila aliyowahi kupata kama kiongozi wa nchi kwa kunyimwa visa na TAIFA KUBWA.
Hakika inatia simanzi ila ni bullying iliyowahi kuwepo na pengine itakuwepo kwa muda mrefu ujao. Japo alituasa kama waafrika kuleta mabadiliko.
Unataka kuipamba?Kumpa kiongozi wa nchi visa yenye masharti unaona ni jambo dogo?Kupewa visa ya masharti ni tofauti na kunyimwa visa. Tofautisha ndugu yangu. Visa zote za kila nchi zina masharti yake. hata za kwetu Tanzania zina masharto yake.
Mwisho kasema, " kama kuna haja ya mabadiriko, leteni mabadiriko..."sasa shida iko wapi ? leteni, fanyeni mabadiriko.
Haya ni mambo ya kawaida, hata sasa hawa waingereza wanayo kitu inaitwa VIP Delegate visa na masharti yake ni kwamba Raisi wa nchi yeyote anayewatembelea hawezi kusafiri na lundo la wasaidizi zaidi ya 20 na visa haitazidi zaidi ya siku tatu baada ya kufika huko.. hebu soma hapa nisikuchoshe ndugu yangu: VIP Delegate Visa.Unataka kuipamba?Kumpa kiongozi wa nchi visa yenye masharti unaona ni jambo dogo?