Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
AiseeeeeeIlikuwa ni mbinu ya kuwafanya wengi wasipatamani
Wanaelewa zaidi ni wale walio na sifa za kupaingia ila wanajua magumu yake kinagaubaga, na hasa mhusika.akiwa ni mzalendo wa kweli hasa na usiyepaona kuwa ni mahala pa fursa ya upigaji.Kwa Mujibu wa mambo ya Kweli ni kwamba, Unapokuwa Ikulu kwa maana ya kuwa kiongozi mkuu wa Nchi, wewe unakuwa Mtukufu, yaani hakuna njaa wala gumu lolote kwako binafsi, familia yako, marafiki zako pamoja na wapambe wako.
Yaani wewe ndiye mwajiri Mkuu na ndiye mlipaji mkuu, kwa kifupi wewe unakuwa ndiye "Alpha na Omega"
Sasa kwa hapo Ikulu yawezaje kuwa mzigo, Au Mwl Nyerere alimaanisha nini aliposema Ikulu ni mzigo?
Kama ungekuwa mzigo wa aina hiyo wangefanya ugatuzi wa madaraka kwenye ngazi, taasisi na watu mbalimbali.Ni zigo ndio maana maamuzi yoyote makubwa ktk nchi rais anahitimisha yani anafanya maamuzi!, kwa kuandika ni rahisi lakini hayo mambo ukiletewa mezani ndo utaelewa namna ilivyo mzigo!.
kuwa rais maana yake maamuzi ya sekta zote ktk nchi yanaratibiwa nawewe maji,umeme,madini,maliasili,jeshi,serikali kiujumla,uchumi,usalama n.k na wewe ndio picha ya hayo yote hata kama unawawakilishi na wakuwawajibisha ila wewe ndio picha lenyewe naweza sema kama ni muvi basi wewe ndie jambazi lenyewe!..😂
Wakati unawaza utaongeza vipi uchumi wa taifa lako, madeni yapo nyuma yako yanakufuata na kumbuka kuna watu wapo wanataka uanguke ili wapite na wapate sababu yakukusema!.. achana na hao kuna anaetaka na asifanye kitu wapo wanaofanya vitu ili uanguke so lolote wanaweza wakaratibu litokee ktk uongozi wako ilimradi tu usambaratike!.
ile dhana ya rais kuwa taasisi, inalindwa na mahusiano mazuri so wewe kama kiongozi unaweza ukawa na dhima nzuri tu ya kuongoza taifa lako lkn wachache ktk taasisi yako hiyohiyo wakawa na nia mbaya!, maana mwisho wasiku mtu anaefanya kazi serikali ama popote pale bila yakuwa na integrity ni kazi bure!.
Ni ngumu sana kuendeleza utii nakufuata sheria sehemu yenye minofu!, hasa ukizingatia wenzako wanakula!.
ukikaa chini ukafikiria vyema utaona urais sio jambo la kubeza!, labda kazi inaweza kuwa rahisi kama watu wako na taifa kiujumla wataamua kuwa wawajibikaji kwa asilimia mia kitu ambacho kwa hulka ya binadamu ni ndoto!.
HakikaKama ungekuwa mzigo wa aina hiyo wangefanya ugatuzi wa madaraka kwenye ngazi, taasisi na watu mbalimbali.
Sifikirii kwamba anamawazo napo, ila amesema ukweli wasioupenda watawala.Ni mzigo hasa kwa yule anayejiita ana PhD kumbe elimu yake ina makengeza. Akiongea anaongea mipasho ya kwao wakatianaongea mambo muhimu ya nchi
Ni mzigo kwa watu waadilifu. Ukiwa mwizi na fisadi ni palaisi sana. Unakuwa unapiga madili makubwa makubwa kwa kusaini mikataba ya kishenziKwa Mujibu wa mambo ya Kweli ni kwamba, Unapokuwa Ikulu kwa maana ya kuwa kiongozi mkuu wa Nchi, wewe unakuwa Mtukufu, yaani hakuna njaa wala gumu lolote kwako binafsi, familia yako, marafiki zako pamoja na wapambe wako.
Yaani wewe ndiye mwajiri Mkuu na ndiye mlipaji mkuu, kwa kifupi wewe unakuwa ndiye "Alpha na Omega"
Sasa kwa hapo Ikulu yawezaje kuwa mzigo, Au Mwl Nyerere alimaanisha nini aliposema Ikulu ni mzigo?
Kama mtu anataka kuwa rais wa kweli wa kuongoza nchi, basi Nyerere alikuwa sahihi mno. Mwanzisha thread, Erythrocyte Nyerere alimaanisha kuwa kuwa rais kunatakiwa ujitoe sana kwa kazi, muda wote hupumziki. Lakini kwa mtu kama Samia Ikulu ni sehemu ya starehe. Pengine hata wewe Yoda unadhani Nyerere alitishia watu ili wasitake urais kwa sababu urais ni starehe? Ukweli ni kwamba urais wa kuongoza nchi (kama inavyotakiwa) ni kazi kubwa.Ilikuwa ni mbinu ya kuwafanya wengi wasipatamani
DuuuuuKama mtu anataka kuwa rais wa kweli wa kuongoza nchi, basi Nyerere alikuwa sahihi mno. Mwanzisha thread, Erythrocyte Nyerere alimaanisha kuwa kuwa rais kunatakiwa ujitoe sana kwa kazi, muda wote hupumziki. Lakini kwa mtu kama Samia Ikulu ni sehemu ya starehe. Pengine hata wewe Yoda unadhani Nyerere alitishia watu ili wasitake urais kwa sababu urais ni starehe? Ukweli ni kwamba urais wa kuongoza nchi (kama inavyotakiwa) ni kazi kubwa.
Urais ni kazi nyepesi sana kama mtu ana akili kubwa kwa sababu una washauri wa kila kitu wewe ni kufanya maamuzi ya mwisho tu. Pia kauli ya Nyerere ilikuwa kutishia watu ili wasilite ushindani katika urais kwa sababu mtazamo Nyerere ulikuwa ni kama nafasi ya urais wa Tanzania ni nafasi tukufu chini kidogo ya mungu.Kama mtu anataka kuwa rais wa kweli wa kuongoza nchi, basi Nyerere alikuwa sahihi mno. Mwanzisha thread, Erythrocyte Nyerere alimaanisha kuwa kuwa rais kunatakiwa ujitoe sana kwa kazi, muda wote hupumziki. Lakini kwa mtu kama Samia Ikulu ni sehemu ya starehe. Pengine hata wewe Yoda unadhani Nyerere alitishia watu ili wasitake urais kwa sababu urais ni starehe? Ukweli ni kwamba urais wa kuongoza nchi (kama inavyotakiwa) ni kazi kubwa.
Kuwa na washauri ndiyo kunafanya hii kazi iwe ngumu zaidi... hasa kwa nchi maskini kama Tanzania. Ila kwa mtu kama Samia au wewe, ni kazi nyepesi tu....Urais ni kazi nyepesi sana kama mtu ana akili kubwa kwa sababu una washauri wa kila kitu wewe ni kufanya maamuzi ya mwisho tu. Pia kauli ya Nyerere ilikuwa kutishia watu ili wasilite ushindani katika urais kwa sababu mtazamo Nyerere ulikuwa ni kama nafasi ya urais wa Tanzania ni nafasi tukufu chini kidogo ya mungu.
Alimaanisha wajinga wenye upumbavu wasioneshwe hata picha ya ikulu.Achilia mbali kupelekwa ndani yake.Kwa Mujibu wa mambo ya Kweli ni kwamba, Unapokuwa Ikulu kwa maana ya kuwa kiongozi mkuu wa Nchi, wewe unakuwa Mtukufu, yaani hakuna njaa wala gumu lolote kwako binafsi, familia yako, marafiki zako pamoja na wapambe wako.
Yaani wewe ndiye mwajiri Mkuu na ndiye mlipaji mkuu, kwa kifupi wewe unakuwa ndiye "Alpha na Omega"
Sasa kwa hapo Ikulu yawezaje kuwa mzigo, Au Mwl Nyerere alimaanisha nini aliposema Ikulu ni mzigo?
Mbona alieleza vizuri kuwa anazunguka nchi na kuona umasikini mkubwa, watu wana njaa, watoto hawana nguo, anaona huo wote ni mzigo wake.Kwa Mujibu wa mambo ya Kweli ni kwamba, Unapokuwa Ikulu kwa maana ya kuwa kiongozi mkuu wa Nchi, wewe unakuwa Mtukufu, yaani hakuna njaa wala gumu lolote kwako binafsi, familia yako, marafiki zako pamoja na wapambe wako.
Yaani wewe ndiye mwajiri Mkuu na ndiye mlipaji mkuu, kwa kifupi wewe unakuwa ndiye "Alpha na Omega"
Sasa kwa hapo Ikulu yawezaje kuwa mzigo, Au Mwl Nyerere alimaanisha nini aliposema Ikulu ni mzigo?