Katiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
Mbeba maono. ..!Mwalimu nyerere aliwai kusema kuwa hii katiba yetu,inampa mno madaraka makubwa sana,mwalimu alisema kuwa kama tukimpata rais asiyekuwa na busara,kwa katiba hii rais anajeuka kuwa mungu,unakubaliana na kauli ya mwalimu nyerere?
Kichwa mchogokoNatafuta mtaalam wa hisabati aniambie kike kichwa anachokichoraga Masoud Kipanya ni umbo gani?
Irregular shapeNatafuta mtaalam wa hisabati aniambie kike kichwa anachokichoraga Masoud Kipanya ni umbo gani?
Namlaumu sana na hata simwombei, alijua shida itatupata na akakaa kimya.kweli kabisa ... nyerere kama vile alikuwa nabii pumzikabkwa aman Mzee wetu
Hiyo haina ubishi tena....mbona dalili zipo wazi kwa sasa?Mwalimu nyerere aliwai kusema kuwa hii katiba yetu,inampa mno madaraka makubwa sana,mwalimu alisema kuwa kama tukimpata rais asiyekuwa na busara,kwa katiba hii rais anajeuka kuwa mungu,unakubaliana na kauli ya mwalimu nyerere?
Kama yy aliona katiba inampa rais kua mungu mtu na yy ndie aliekua raise mbona akubadili katiba ili kumuondolea kazi kubwa rais? Asitueke Watanzania kama wapofu wa macho. Yeye ndio aliusika na katiba mbovu tulio nayo.Mwalimu nyerere aliwai kusema kuwa hii katiba yetu,inampa mno madaraka makubwa sana,mwalimu alisema kuwa kama tukimpata rais asiyekuwa na busara,kwa katiba hii rais anajeuka kuwa mungu,unakubaliana na kauli ya mwalimu nyerere?