Mwalimu nyerere memorial accademy inastahili kuwa chuo kikuu

odnickss

Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
13
Reaction score
1
Kwa heshima na taadhima, ningependa kutoa maoni yangu, kuwa, chuo cha mwalimu nyerere ingepandishwa hadhi na ikawa MWALIMU NYERERE UNIVERSITY. Kwa kuwa imeanza kutoa kozi mbalimbali. na hiyo itatupa fursa nyingine ya kumhenzi baba wa taifa.
 
Hiki chuo ni embarassment kubwa kwa mwalimu, chuo kichafu wala hakistahili hata kuwa veta, huyo magoti waliyemuweka hapo kisiasa hana vision, watoto wanasoma kwa shida, wameandika humu kwenye JF hakuna hatua inayochukuliwa, walimu wamechoka hawana moyo wanajua huyo mkuu wa chuo na wapambe wake waliopewa vyeo bila hata kuwa na sifa hawana mpango wowote wa kuendeleaza chuo bali kuiba na ufuska wa hali ya juu. Kama kawaida ya serikali hii haina huruma wala uchungu na heshima kwa viongozi wataifa hili waliopita, haya unayoongea ya shule hii unayasema kwa kuwa hujafika kwenye hicho chuo, jengo pekee linaloonekana walu ni lile Jumba la Utamaduni, hizo business center zinafanana na vyoo, hata ukienda hapo huwezi kwenda hata chooni pamoja na kwamba maji ya bure ya bahari yako pembeni yako, He is a miopic leader hafai kabisa
 
Ni bora kuwa na macho ukaona kuliko kusimuliwa uzuri wa kitu maana wapambe ni nuksi wanakusifu hata ukitoka uchi watakuambia umependeza maana huna macho

Viongozi wengi kwa sasa hawapitii sieve/chekeche la ubora wao bali kwa kujuana tu unaweza kuwa mtu wa ngazi yeyote ndani ya nchi hii hata za nafasi za kuteuliwa na raisi hata uwe huna elimu yoyote unawza ukawa mkuu wa wilaya, mkoa, meneja, mwenyekiti wa bodi, mkuu wa shule, mkuu wa chuo, mkuu wa idara katika halmshauri zetu, mkuu wa kitengo nyeti cha wasomi, mkuu wa kitu chochote au hata wanaweza kuamua kukuanzishia tasisi ili uwe mkuu na wewe upate kula na kunyonya wananchi.
Haya yote yataisha tu tuombe uzima kwa watakao kuwa hai watasema maana nchi hii imeoza kila idara na kila mahali ni kujuana tu na kama unabisha subiri maana tabia hii inakuwa kwa kasi ya ajabu katika nchi yetu na kama huna mtu kitu kidogo utoe ndo jina litawekwa katika white list lasivyo utakuwa katika black list katika maisha yako yote bila kujali elimu yako, ujuzi wako wala umuhimu wako katika maendeleo ya taifa hili.
 
we mzee inaonekana ni tahila kabsa hujielew kabisaa utaishia tu kuchafua taasisi ile na utatoka mtupu note elimu yamjinga ni majungu punguza utakapobainka utasimama nakutolea ushahidi huo nakama ni mfanyakaz wapale bas w hufai kuwepo pale
 
Kwa heshima na taadhima, ningependa kutoa maoni yangu, kuwa, chuo cha mwalimu nyerere ingepandishwa hadhi na ikawa MWALIMU NYERERE UNIVERSITY. Kwa kuwa imeanza kutoa kozi mbalimbali. na hiyo itatupa fursa nyingine ya kumhenzi baba wa taifa.

Bado mpaka kikidhi vigezo kamili
 
we mzee inaonekana ni tahila kabsa hujielew kabisaa utaishia tu kuchafua taasisi ile na utatoka mtupu note elimu yamjinga ni majungu punguza utakapobainka utasimama nakutolea ushahidi huo nakama ni mfanyakaz wapale bas w hufai kuwepo pale

usipanic bac , unasoma hapo nini ...!?
 
Back
Top Bottom