Mwalimu Nyerere Wamlipua Kikwete

Alikuwa ana -please tu wazenj..deep inside hakuwahi kum-uplift..muda kidogo baadye uliona alivyompinga ndio akaanza kuleta church member wake nkapa kwa kupindisha democrasia.

That was something that probably had to be done. Just imagine this. Angetoka Nyerere akaingia "mbara" then akafuatiwa na "mbara" Mkapa halafu sasa hivi "mbara" Kikwete kweli wasinge lalamika? At that point in time it was important for the other side to know they can produce a president. Najua ni muhimu zaidi kupata kionogzi anayefaa bila kujalisha anatoka wapi but at that time it would have caused a political scandal. Leo hii yenyewe Zanzibar hawaishi kulalamika sasa imagine kama kusingewahi kuwa na raisi toka kwao.

By the way I don't think Nyerere had to like or uplift Mwinyi. Uongozi siyo kupambana na kuimbiana sifa. He saw him as the right man for the time and that was all that was needed. You can complain that Nyerere did the wrong thing but some times you have to break some rules if it's for the good of the country.
 
Kwanini unasema ku-complain? mimi sija complain nimeeleza the facts kwamba alikuwa anaipenda nchi yake..lakini alikuwa anawaamini chruch members wake kuliko mtu yeyote (mbaguzi) ...kueleza facts na weakeness zake ni ku-complain
 
Kwa kweli ndo tumeeelewa kwa nini Rais wetu anashindwa kuchukua maamzi magumu kwanza mimi nilishangaa na alivyoweza kuibeba ishu ya EPA kwa kutoa misamaha wakati MAHAKAMA haijatoa hukumu. Pili angalia anavyokuwa kimya pindi rostam anapojadiliwa, sana sana waziri wa bora utawala sophia utamsikia ametumwa na mkuu kwenda kukanusha. mie nafikiri kinachomtoka sophia simba lazima atakuwa na support ya ikulu. nafikiri kuanzia sasa tuanze kufikiria otherwise kwamba rais wetu hana nia njema na mambo ya ufisadi
 
Kwanini unasema ku-complain? mimi sija complain nimeeleza the facts kwamba alikuwa anaipenda nchi yake..lakini alikuwa anawaamini chruch members wake kuliko mtu yeyote (mbaguzi) ...kueleza facts na weakeness zake ni ku-complain

It was a generalized form of statement and did not necessarily target you as an individual. Sawa na kusema "You can take a horse to the river but you can't force it to drink". This won't necessarily mean you Tumain. Umenipata?


But Fact remains he had to appease the Zanzibaris cause they would have otherwise complained. They would have complained then and they would have complained even more now because if it wasn't for Mwinyi being given the presidency they wouldn't have had a president from their side since the union. Do you get me?
 
Duu,

Sasa naanza kuamini kweli kwamba Tumaini kizazi kile alikuwa Punda. Ni mbishi kama Msomali. Hajali mtutu wala nini, yeye anakuja tu. Ukiwa na Taifa ambalo watu wake wanafikiri kama Tumaini, utakuwa na taifa lililo bora kuzidi Afghanistan, Pakistan na Solamistan ukichanganya pamoja. Yaani sawa na kusema unachukua Mendeleev table na kuichanganya pamoja.
 

Hahahahaa..........h

Hadithi yetu inatufundisha nini!!!!!!!!!!
 
Mambo yalozungumzwa na wazee hawa ni mambo muhimu sana kwa mustakabali wa taifa, ingawa naona unaanza kuingiliwa na wavurugaji kauanza ingiza mambo za udini. Kikubwa jamaa nchi imemshinda na hili halijalishi ni muislsamu au alikua akisali na Nyerere. Lets call a spade spade. Nchi imekua kama mji usio na baba. kila mwenye sharubu akiingia amekua/ anaitwa baba na anasauti kwenye mji ule. Kuendelea kukaa kimya nisawa na kukubaliana na uoza unaoendelea.

Asante sana Mzee Butiku, Kilewo na Mhashamu Kilaini. Lazma tuwe na watu waliotayari kuwasemea wengi tusio na jukwaa na kusemea, lazma kuwe na watu walioteyari kukemea uovu unapotokea na lazma tuwe na watu waliotayari kutoa ushauri kwa mamlaka zilizopotoka, kuzorota na kusahau wajibu wao kama utawala huu wa Kikwete.

Ni dhahiri shahiri kwamba CCM itaendelea kuutwaa uRais wa taifa hili, na hawa ndio watakao simamia mustakabali wa taifa hili, kuwakalia kimya ni kutoa fursa kwa hawa watu kuendelea kututesa tena kwa miaka mingine mitano.

Tuwaseme waziwazi, tuwaombe wote wenyemajukwaa wakemee uoza huu, ingawa kwakua utawala wenyewe niwa hovyo hovyo, na hakuana mwenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo kwa taifa hili, mambo yatendelea vile vile.

JK nchi imemshinda, mtandao unamtafuna, hanauwezo wa kiuongozi wala utashi wa kisiasa . CCM imejaa mafisadi, hakuna alotayari kukemea mambo hadharani, kilamtu anajichumia chake, wote wanamatumbo yasiyo shiba.

Tutaendelea tena kuwajibika kwa makosa yetu kwa miaka mingine mitano.

Yetu macho
 
Kuongoza nchi si suala la kukimbilia, unapotaka kuwa kiongozi basi lazima uwe mtu mwenye vision, na mtu mwenye values na principle na uwe tayari kufa kwa kuamini values na principle zako ambazo ni kama guides zako ili uweze ku-realize vision yako. Sasa leo hii watanzania mna lalama ohoo JK nchi imemshinda, je kabla ya kumchagua mulimuuliza kuhusu vision yake (anataka kuifanyia nini tanzania?), je mlipima vipi uwezo wake? huwezi kumuhukumu mtu bila kuwa na basis. Mimi binafsi nilichoka pale aliposhindwa kuudhuria mdahalo, maana nafikiri hii ndio ingekuwa right platform kumuhoji, na ndio maana sikupiga kura!
 
Dhumuni la Mwalim Nyerere Foundation ni nini?
nauliza hili swali maana naona jamaa wao wanakosoa tu serkikali as if ndo dhumuni lao. Sisemi Serikali isikosolewe, la hasha jamaa wangefanya mambo productive zaidi katika jamii kuliko kumkosoa au kuikosoa setikali, as if ni another oposition party. Wanayoyasema jamaa wa Mwalim Foundation, yanasemwa kila siku na upinzani. Butiku naonaga hana jipya, nikurudia yaleyale. Kesho utamsikia anarudi na ubinafsishaji wa NBC nk.

Jamaa wangejiusisha zaidi na mambo ya maendeleo, mfano kupigana na HIV/AIDS nakadhalika. Mtu kamma salim ahmed salim anauwezo kabisa wakutafta funds zakuanzisha michakato mbalimbali. Nyerere foundation inaweza hata kujenga shule, lets say isaidie watoto yatima au walemavu.

Nyerere foundation inaweza kabisa kutafta funds na ikawa inatoa scholarships hata tatu kwa mwaka kwa elim ya juu kusoma masomo mbalimbali.

TATIZO LAO WANAFIKIRI WAKO PALE KWA KUANGALIA MAMBO YA SIASA TU NA KUMKOSOA JK KULIKO KUENDELEZA FUOUNDATION.
 

Wanafanya mengi tu ndugu yangu lakini hapa wanataka kuhakikisha kuwa shamba lina rutuba ili mazao yaweze kustawi. Hakuna anayeweza kunyamaza bila kukemea huu mmomonyoko wa nchi tunaoushuhudia hivi sasa. Tulishuhudia Mwalimu akipendekeza Mwinyi apewe madaraka lakini alipoamza kuvurunda Mwalimu hakunyamaza. Baadaye tukashuhudia tena Mwalimu akimpigia kampeni Mkapa na yeye alipoanza kuharibu Mwalimu hakumwonea haya - kumbuka hotuba yake Mbeya kwenye sherehe za wafanyakazi. Sasa maadam hii inaitwa Foundation ya Nyerere, viongozi wake nafikiri watakuwa wanamsaliti Mwalimu kama hawatakemea huu uozo tulio nao.
 
Sasa nimeamini kwamba kweli wewe sikonge ni kizazi cha nguruwe. Ni mlafi na mchafu kama nguruwe. Hujali ukweli wala haki wewe unakomba tu. ukiwa na taifa ambalo watu wake wanafikiri kama sikonge, utakuwa na taifa lililo bora kuzidi East timor, Sri-lanka na sudan ukichanganya pamoja...
 
Yes Sir, I got what you mean, next time don't generalize because siyo kila mtu ana-complain..wengine hatuna muda huo we are fighters since the day 1 to death..never give up.
 
..Mzee Butiku alipaswa kutoa madai haya mwaka 1995 au 2005 kabla ya uchaguzi.

..why didnt they speak out when everything was being played out right in front of their eyes?

..halafu hii ya kudai ati wamsaidie Raisi kuwaondoa wanamtandao ni kujidanganya tu. watamtenganisha na kumtofautisha vipi JK na watu/kikundi wanahusika moja kwa moja na kuchaguliwa kwake?


..sielewi ni mantiki gani anayotumia Mzee Butiku kuwakana wanamtandao, bila ya kumkana JK ambaye ndiyo mwana-mtandao nambari moja.

..kama mtandao hawafai basi hata Raisi aliyechaguliwa kwa juhudi za wanamtandao hafai.

NB:

..halafu mmesoma jinsi Jaji Joseph Warioba na Dr.Salim Salim walivyokuwa wakijaribu kumzuia Butiku asitoe madukuduku yake? sasa kama siyo UWOGA unaowasumbua hawa wazee ni kitu gani?
 
Kweli Mwalimu alifanikiwa kuwafunga midomo viongozi wetu....kidogo kidogo wanaanza kupata ujasiri wa kutamka yale ambayo wameyahifadhi mioyoni mwao kwa kipindi kirefu. Wasingethubutu kutamka enzi ya mchonga. Ni kama kuku ambaye kasafirishwa akiwa kafungwa kamba miguuni, akifika mwisho wa safari kisha akafunguliwa, inamchukua muda kutambua kuwa yuko huru. Anabakia kasimama mpaka akurupushwe. Butiku keshatambua kuwa anaweza kuongea, kina Dr Salim, Warioba na wengineo bado woga umewajaa....bado tuna safari ndefu....
 
kama mwalimu mwenyewe ni wewe mbona kazi ipo!

This dude [Tumain] sounds like a shehe. I bet ni mwalimu wa madrasa. Kwa sababu kila topic hapa yeye anajenga hoja utadhani yuko msikitini. He is so boring!
 
This dude [Tumain] sounds like a shehe. I bet ni mwalimu wa madrasa. Kwa sababu kila topic hapa yeye anajenga hoja utadhani yuko msikitini. He is so boring!
Huwapendi masheikh na walimu wa madrasa eh! weka issues wewe ni kilaza kwangu kuanzia madrasa, shule, chuo etc..i can bet..endelea kuchukia

yes iam sheikh, mwalimu wa madrasa, msomi na mfanyabiashara get your record you hater.
 
Huwapendi masheikh na walimu wa madrasa eh! weka issues wewe ni kilaza kwangu kuanzia madrasa, shule, chuo etc..i can bet..endelea kuchukia

yes iam sheikh, mwalimu wa madrasa, msomi na mfanyabiashara get your record you hater.

Mkuu taasisi ya mwalimu Nyerere inahusiana vipi na masheikh?Ama nimepotea thread?lol!Hata hivyo give mwalimu a break,Rashid Kawawa naye mtu wake walisali naye St Peters ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…