MWALIMU pasipo UALIM

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,422
Reaction score
7,350
Najiuliza sana kwanini wale wanaofundisha vyuo vikuu ukiondoa kozi za education,
Mfano
1.Law
2.Enjinia
3.Utawala
5.Biashara
6.Compyuta
Nk
Wengi wao awajasoma njia za ufundishaji sasa wanawezaje kuwa waalimu wazuri,wakati pale GPA ndo imempeleka ndomana nasema Mwalimu pasipo Ualimu(njia za ufundishaji)
Karibuni katika mnakasha
"Vox populi,Vox dei"
 
Mtu akifika university na akafuzu kupata degree means anatambulika universal or world wide hivyo ufahamu wake unamsaidia kutoa knowledge kwa wengine
 
Wale sio walimu ni waelekezaji tu(instructors).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…