#COVID19 Mwalimu sichomwi chanjo ng'o na wakibadilisha utaratibu kuwa lazima basi nitakuwa tayari kuacha hata kazi

Mwalimu tulia hutaki chanjo tunakulazimisha hutaki hamia Burundi au Drc.
 
Mwanamke akishachomwa chanjo utamu wote unaisha uchi unakuwa mkavu balaaa
 
mambo yanayoandikwa kwenye Uzi huu ni ushahidi tosha uwezo wa kufikiri wa watanzania wengi ni duni sana.
 

Anajifanya ana undugu na covid-19 eee 🀣, corona sio malaria wala kipindupindu..
 
Watu tupo tunapeana mbinu za jinsi ya kuikwepa hata kama zitakuwa zinatolewa chini ya uangalizi wa JWTZ!
Hata ukimwi walianza mdogo mdogo eti kupima ni hiali sasa hivi kabla hujasalimiana na dk damu ya ukimwi imeishachukuliwa!
 
Uviko ilikuwa chambo tu, Sasa hii chanjo ndiyo mtego WENYEWE.

Wanakusababishia matatizo halafu baadae wanajifanya wamekupa msaada.

Lengo lako Waafrika INATAKIWA kuwatokomeza kizazi ili wapungue iwe rahisi kuchukua rasilimali zao.
 
Ticha nakuunga mkono lakini kabla ya yote nenda kadidibue mkopo wako nmb ili upate mtaji kabisa!
 
Utaratibu wa chanjo upo vipi zinapatikana wapi mi niwahi mapema
 

Hebu tuthibitishie kuwa usalama wa hizo chanjo ni mdogo! Tuambie madhara yake hasa ni yapi na yamemkumba nani, au kama effect itaonekana baadae ni effect gani baada ya muda gani..,!!?
 
Umewahi kuwasikia watawala wa Africa wanawapa "hiari" kwa maana ya "hiari" watu wake!?!!


Kama ikitolewa kwa hiari, wao watakulaje?


Wao watakula wapi!?

Microsoft itarudishaje gharama zake?
 
MLIOCHANJWA MNA HAMU NA WENGINE WACHANJWE MPAKA MMEKUA KAMA WAHAMASISHAJI yaani hamjiamini amini mnataka na wengine wapigwe sindano ndo mjisikie ''afadhali tuko wengi'' πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
very insecure
 
Nakuunga mkono nipo tayari kuacha kazi na hata kufa kuliko kuuza nafsi yangu, nitaawaachia maiti wakitaka kunisumbua
 
Ila cha ajabu sana ni kwamba waalimu mara nyingi ndo mnasimamia uchaguzi
ambao vyama vya upinzani kila mwaka wa uchaguzi hulalamikia kuibiwa kura
sasa iweje na ninyi wadau wa wenye mamlaka mna yenu moyoni?
 
Muache hata sasa. Ila huu ni uzwazwa tu. Kesho mtachoma wenyewe bila kelele
 
MLIOCHANJWA MNA HAMU NA WENGINE WACHANJWE MPAKA MMEKUA KAMA WAHAMASISHAJI yaani hamjiamini amini mnataka na wengine wapigwe sindano ndo mjisikie ''afadhali tuko wengi'' πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
very insecure
Sijakuelewa, kuna mtu anahasisha au kulazimisha? Mimi ni famila ya UN hivyo nimekwenda kuchanjwa kwa ihali na kukubali masharti You have to sign a pact kwamba hujalazimishwa na kama ukipata reaction ni liability yako. hivyo usikonde litakalotupata ni juu yetu. Kati ya ndugu waliopewa chanjo ni mmoja amekuja kuwa positive after a week na yeye hakujitambua sababu hana dalili ila vyombo vilimtambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…