Mwalimu toka Kenya akutana na "MUNGU" wa wakenya.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Hongera bwana Peter Thabit kukutana na "Mungu" wenu, kwasababu hiyo ndio ndoto ya kila mkenya kukutana na mzungu. Wenzako huku nyumbani Leo ni sikukuu ya kitaifa kukupongeza wewe kukutana na huyo "MUNGU" wenu, hata kazini hawajaenda.
 
Na mkenya mzungu ndoto yake ni kukutana na nani?
 
Back
Top Bottom