Hongera bwana Peter Thabit kukutana na "Mungu" wenu, kwasababu hiyo ndio ndoto ya kila mkenya kukutana na mzungu. Wenzako huku nyumbani Leo ni sikukuu ya kitaifa kukupongeza wewe kukutana na huyo "MUNGU" wenu, hata kazini hawajaenda.