Mwalimu ulisafirishwa kwa njia gani kwenda kituo chako kipya cha kazi?

Mwalimu ulisafirishwa kwa njia gani kwenda kituo chako kipya cha kazi?

mhaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
489
Reaction score
253
Ni wiki ya kwanza ya walimu wapya kuripoti ktk vituo vya kazi walivyopangiwa. naomba tupeane taarifa jinsi tulivyofika ktk vituo hivyo toka ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri yako iliyokuajiri. mimi nilisafirishwa kwa lory.
 
Hakuna kusafirishwa huku, public transport ipo, pesa ya kujikimu na nauli ushapewa.
 
una bahati wewe ulipata lori, wengine wameenda kwa miguu kilomita 129
 
Back
Top Bottom