Mwalimu: Unapoenda kuripoti na baada ya kuripoti zingatia haya

The 2nd

Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
56
Reaction score
2
1.Fungua akauti NMB,mshahara wako utapitia benki hii.2.Ripoti mapema(tarehe za mwanzo).Jaza fomu utakazopewa na mwajiri kwa usahihi.3.Ukishajaza fomu, zikabidhi kwa wahusika(wengine wanaondoka nazo).4.Nenda karipoti shule uliopangiwa na hakikisha mkuu wa shule anaandika barua kumtaarifu mwajiri wako kwamba umesharipoti.Usipofanya hivyo mshahara wako utachelewa.5.Kama mambo yako hayajakaa vizuri,na unataka ukayaweke sawa usitoroke,omba ruhusa.6.Mheshimu mkuu wa shule utakaemkuta maana yeye ndio kila kitu.Ukipuuza hili yatakukuta yakukukuta.Utaichukia hii kazi.7.Ukikuta shule inampasuko(kuna makundi baina ya walimu) uwe makini,usijiunge upande wowote,uwe neutral itakusaidia.8.Epuka uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi.Utaozea jela.9.Piga kazi sio majungu.10.Wakumbuke waliokufikisha hapo(waliokulea na kukusomesha).MUNGU akusaidie kutekeleza hayo,Amen.
 
Asante kwa ushauri mkuu Mungu akubariki
 
Daah!!!! umemaliza kila kitu wasipoelewa ulichoandika hyo ajira yao haitawaisaidia kitu aiseh, Ushauri mzuri kwa wanaoelewa.
 
licha kua ajira yng imetoka awamu ya pili ila niliyazingatia haya mwanzon kabisa nilipoyasoma wakati wa ajira ya awamu ya kwanza.
nc advice
 
1.Fungua akauti NMB,mshahara wako utapitia benki hii.2.Ripoti mapema(tarehe za mwanzo).Jaza fomu utakazopewa na mwajiri kwa usahihi.3.Ukishajaza fomu, zikabidhi kwa wahusika(wengine wanaondoka nazo).4.Nenda karipoti shule uliopangiwa na hakikisha mkuu wa shule anaandika barua kumtaarifu mwajiri wako kwamba umesharipoti.Usipofanya hivyo mshahara wako utachelewa.5.Kama mambo yako hayajakaa vizuri,na unataka ukayaweke sawa usitoroke,omba ruhusa.6.Mheshimu mkuu wa shule utakaemkuta maana yeye ndio kila kitu.Ukipuuza hili yatakukuta yakukukuta.Utaichukia hii kazi.7.Ukikuta shule inampasuko(kuna makundi baina ya walimu) uwe makini,usijiunge upande wowote,uwe neutral itakusaidia.8.Epuka uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi.Utaozea jela.9.Piga kazi sio majungu.10.Wakumbuke waliokufikisha hapo(waliokulea na kukusomesha).MUNGU akusaidie kutekeleza hayo,Amen.

Nzuri Sana!
 
Nakubaliana na wewe mkuu je ukijaza CRDB mshahara hauingii au??
 
Epuka mikopo ya financial institutions kama bayport, utajutia ajira yako, ukitaka mkopo jifunze kwa wakongwe na chukua muda kupeleleza ni benki ipi itakufaa!
 
Back
Top Bottom