Mwalimu wa ala za muziki

Mwalimu wa ala za muziki

Joyceline

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
1,010
Reaction score
167
Kama kuna yeyote anamfahamu mwalimu wa ala za muziki au yupo hapa naomba uni PM

Ili iweje?
Kama ungekuwa huna jibu ungenyamaza, swali langu limeeleweka akihitajika mwalimu maana yake kuna wanafunzi wanahitaji kufundishwa, au unataka kuongeza idadi ya post

Kama ungekuwa huna jibu ungenyamaza, swali langu limeeleweka akihitajika mwalimu maana yake kuna wanafunzi wanahitaji kufundishwa, au unataka kuongeza idadi ya post

huku2fafanulia huyo mwalmu ni wa kaz gan,je kama unataka kumtoa kafara?

huku2fafanulia huyo mwalmu ni wa kaz gan,je kama unataka kumtoa kafara?

wapi?dar au?ala gani unataka? Kama ni music theory n piano yupo wa ukweli. Ni pm ..

Back
Top Bottom