Mwalimu wa Biology and Geography Dar es Salaam

Joined
Mar 3, 2020
Posts
70
Reaction score
39
Hello wakuu wa JF,

Mimi ni kijana niliehimu mwaka 2018 (Bachelorof science with Education Geography and Biology) nimekuwa nikitafta nafas za kufundisha private schoos bila mafanikio!

Kwa sasa natafuta mtu wa kufanya naye partnership mwenye uwezo wa kufungua Tuition Centre ili kwa makubaliano maana hali sio nzuri huku mtaani kwetu.

Mbali na hilo wazo kwasasa naandika kitabu cha physical geography kwa A level lakini sina uwezo wa kufanya publishing na kutoa nakala nyingi ili niingize sokoni.

Pia kwa wale wanaotafta Credit kwa masomo tajwa (Biology and Geography) nawakaribishen huduma ipo na ya uhakika nafundisha home tuition/home visiting pamoja na online tuition kwa njia ya video conference. Hii ni kutokana na ukosefu na venue (kituo)

Pia kwa wenye connection za Volunteer based on my career naomben michongo ili nipate mkate.

Kwa wanaohitaji huduma au kunipa connection ya kufanikisha mawazo haya karibun sana.

Napatikana Mbagala Dar es Salaam

NB. PM iko wazi kwa wenye chochote cha kunishauri.

Asanten sana
 
Kwa sasa natafta mtu wa kufanya naye partnership mwenye uwezo wa kufungua Tuition Centre ili kwa makubaliano maana hali sio nzuri huku mtaani kwetu.

Pia wa physics na mathematics

Nipo hapa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanapangiwa kazi kimya kimya watoto wa masikini wapo wapo

Eeeeh mungu tuhurumie
 
Nipo pia ntakusaidia Geography kiswahili🤔,
Huko tamisemi kumbe tulikuwa tunasubiria hewa😆😆
 
Nyie anzisheni Tuition yenu munaonaje.
 
Kila kheri , pia English Geography nipo

Back
Top Bottom