Natafuta kazi ya ualimu wa masomo ya book keeping na commerce kwa o level,nina degree ya accountancy kutoka chuo kikuu nitashukuru sana kama mtanisaidia kupata kazi hiyo mkoa wowote nchini maana maisha yangu ni magumu sana na nahitaji kujikwamua kiuchumi na pia kujenga kizazi kijachO,asante sana nawategemea nyie watanzania wenzangu.