Namche Bazar
Senior Member
- Apr 8, 2019
- 116
- 176
Sawa mwalimu mstaafuWatakuja wasiojitambua
Daah ila wewe jamaa una chuki na walimu sanaWatakuja wasiojitambua
Wewe unavyojiona unajitambua kweli?maana kwa jitu zima kama wewe ni aibu kudharau kazi za wenzako.Watakuja wasiojitambua
Sijui akitaka hao wanafunzi wafundishwe na nani, akili mgando hizoWewe unavyojiona unajitambua kweli?maana kwa jitu zima kama wewe ni aibu kudharau kazi za wenzako.
BadoKapatikana au bado?
Kama posho yakueleweka niunganishe nijeBado
Ila wewe ππππππππ kila uzi unauliza tu ivyoKapatikana au bado?