Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
Kwa serikali hii ya CCM NI zaidi ya miaka 15 mzigon ndo utasoma 1MNina diploma ya chemistry na biology
Nimegraduate 2018 mpaka Leo sina Ajira
mwak Jana Kuna rafiki yanguu aliajiriwa akaniambia take home ni 480,000
Kiuhalisia mshahara WA 480k Naona ni Sawa na kusain mkataba n'a umasikini
Kama ndani ya miaka 4 ntapanda madaraja had salary ya 1m ntaomba Ajira serikaliin.
Vinginevyo kuniona nimeshika chaki forever itabaki story.
ITABAKI STORY FOREVER
uPO serios auKwa serikali hii ya CCM NI zaidi ya miaka 15 mzigon ndo utasoma 1M
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa kwa nini ulisomea ualimu kama ulijua mshahara ni Mdogo? Huu ndio unafki huu. Umejipotezea mda halafu unakuja kutafuta faraja na support huku.Nina diploma ya chemistry na biology
Nimegraduate 2018 mpaka Leo sina Ajira
mwak Jana Kuna rafiki yanguu aliajiriwa akaniambia take home ni 480,000
Kiuhalisia mshahara WA 480k Naona ni Sawa na kusain mkataba n'a umasikini
Kama ndani ya miaka 4 ntapanda madaraja had salary ya 1m ntaomba Ajira serikaliin.
Vinginevyo kuniona nimeshika chaki forever itabaki story.
ITABAKI STORY FOREVER
Sahihi kabisa..Kwa serikali hii ya CCM NI zaidi ya miaka 15 mzigon ndo utasoma 1M
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Easily said!!Acha mbwembwe..wengine huko wanafanya kwakupatia mitaji namikopo yakuendesha biashara zao..
Wengine hutumia mbinu yakuoa aliyeajiriwa kwa faida ya hiyo mikopo
Kijana unae endesha LC300 unataka ajira ya ujira wa 480000 ya kazi gani? Tuachie watoto wa wakulimaNina diploma ya chemistry na biology. Nimegraduate 2018 mpaka Leo sina Ajira
mwaka Jana Kuna rafiki yangu aliajiriwa akaniambia take home ni 480,000
Kiuhalisia mshahara wa 480k Naona ni Sawa na kusaini mkataba na umasikini
Kama ndani ya miaka 4 ntapanda madaraja hadi salary ya 1m nitaomba Ajira serikalini.
Vinginevyo kuniona nimeshika chaki forever itabaki story.
ITABAKI STORY FOREVER
🤣🤣Mkuu maisha ni kuchagua, mimi sasa nina zaidi ya miaka kumi kazini nikiwa Mwalimu wa diploma masomo ya sanaa, basic salary ni 780K na take home ni almost 500K+ weka na akina bayput, Crdb, nmb nk . Take home inabaki 200K,hatari sana yaani
Halafu bado huambiwi kitu kuhusu CCMMkuu maisha ni kuchagua, mimi sasa nina zaidi ya miaka kumi kazini nikiwa Mwalimu wa diploma masomo ya sanaa, basic salary ni 780K na take home ni almost 500K+ weka na akina bayput, Crdb, nmb nk . Take home inabaki 200K,hatari sana yaani
Sasa mkuu nifanye viipi labda!?Halafu bado huambiwi kitu kuhusu CCM
Na wakuu wao washule wamechangia fomu za uraisi wa mama kizimkazi 2025!Halafu bado huambiwi kitu kuhusu CCM
Songesha maisha mzee as long as unatunza familia na kusomesha wanaoMkuu maisha ni kuchagua, mimi sasa nina zaidi ya miaka kumi kazini nikiwa Mwalimu wa diploma masomo ya sanaa, basic salary ni 780K na take home ni almost 500K+ weka na akina bayput, Crdb, nmb nk . Take home inabaki 200K,hatari sana yaani
Wakatae hao wanyonyaji.Sasa mkuu nifanye viipi labda!?
Mtu anaedharau ajira hata kujiajiri haweziK
Kijana unae endesha LC300 unataka ajira ya ujira wa 480000 ya kazi gani? Tuachie watoto wa wakulima
HahahaWakatae hao wanyonyaji.
Nasikia waalimu mnajichanga kumnunulia mama form ya ugombea mwaka 2025
Na bado unaendesha Familia fresh ! Madogo wako shule na njia ya chooni haioti nyasi vijana wanashiba !! Hongera sana mkuu vijana tufanye kazi ! Mengine kujiongeza kwa akili za ziada.Mkuu maisha ni kuchagua, mimi sasa nina zaidi ya miaka kumi kazini nikiwa Mwalimu wa diploma masomo ya sanaa, basic salary ni 780K na take home ni almost 500K+ weka na akina bayput, Crdb, nmb nk . Take home inabaki 200K,hatari sana yaani