Abtali mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 665
- 515
Hi.. Unaweza kumtafutia mwanao wa chuo Mwl wa tuition?Level gani Advance au chuo?
Yes mbona wapo wanaofanya hivyoHi.. Unaweza kumtafutia mwanao wa chuo Mwl wa tuition?
Nibonyeze ngapi kupata ucheshi huu?Yes mbona wapo wanaofanya hivyo
Bonyeza *21#Nibonyeze ngapi kupata ucheshi huu?
Ila we jamaaa bn sasa chuo utafundisha nnLevel gani Advance au chuo?
Nyie mnaniona kama chizi ila wapo wanafunzi wa vyuo wanalipia tuition. Ukihitaji mwalim ninae nimeuliza nijue n level ipi.Ila we jamaaa bn sasa chuo utafundisha nn
Mwanafunzi wa chuo kuhitaji tution ndo naskia kwakoNyie mnaniona kama chizi ila wapo wanafunzi wa vyuo wanalipia tuition. Ukihitaji mwalim ninae nimeuliza nijue n level ipi.
Kama unasikia basi shida iko mahali maana hakuna voice note.Mwanafunzi wa chuo kuhitaji tution ndo naskia kwako
Mzee unazijua sup, wanafunz wenye matatizo ya kiafya wengine unakuta hawahudhurii mara kwa mara, au uelewa.....Mwanafunzi wa chuo kuhitaji tution ndo naskia kwako
Inawezkn kabisa!Hi.. Unaweza kumtafutia mwanao wa chuo Mwl wa tuition?
Kidato cha sita.Level gani Advance au chuo?
Mpo Dunia gani?Hi.. Unaweza kumtafutia mwanao wa chuo Mwl wa tuition?
Sawa mkuuKidato cha sita.
Nimekula San ela za watot WA chuo wanatk kusoma Accounting chuon Hali ya kuw secondary hawajaisoma so ilikuw unawasumbua kidg maan msingi hawana.Hi.. Unaweza kumtafutia mwanao wa chuo Mwl wa tuition?