Mwalimu wa EGM anahitajika

Mwalimu wa EGM anahitajika

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
776
Natafuta mwalimu mzuri wa EGM kwa ajili ya kufundisha tuition vijana wa form six kuanzia tarehe 7/12/2021 – 23/12/2021. Idadi ya vijana ni sita na wote wapo Arusha. Kwa ambae yuko interested njoo inbox.
 
Kupata mwalimu EGM full itakua ngumu ila mwalimu wa geo na math au economics na geo au math only,wapi mii nije kupiga pure math na geog
 
kupata mwalimu EGM full itakua ngumu ila mwalimu wa geo na math au economics na geo au math only,wapi mii nije kupiga pure math na

Kama unaweza piha pure maths na Geo ni sawa naomba basi unipatia nawa Economics.
Mji ni Arusha (Njiro PPF)
 
Back
Top Bottom