BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Haya waalimu mahandsome na beautifuls mnatafutwa hukuNatafuta mwalimu mzuri wa EGM kwa ajili ya kufundisha tuition vijana wa form six kuanzia tarhe 7/12/2021 – 23/12/2021. Idadi ya vijana ni sita na wote wapo Arusha. Kwa amabe yuko interested njoo inbox.
Haya waalimu mahandsome na beautifuls mnatafutwa huku
kupata mwalimu EGM full itakua ngumu ila mwalimu wa geo na math au economics na geo au math only,wapi mii nije kupiga pure math na