Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,724
- 1,693
Kuna kijana kamaliza masomo shahada ya kwanza chuo kikuu cha dodoma anahitaji ajira popote pale ndani ya tanzania. Ni mzoefu na mwadirifu wa kazi. Kama unahitaji ni pm nikuunganishe nae.angalizo matusi na dhihaka mimi sipendi.