Mwalimu wa fizikia na hesabu

Sosthenes Maendeleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
2,724
Reaction score
1,693
Kuna kijana kamaliza masomo shahada ya kwanza chuo kikuu cha dodoma anahitaji ajira popote pale ndani ya tanzania. Ni mzoefu na mwadirifu wa kazi. Kama unahitaji ni pm nikuunganishe nae.angalizo matusi na dhihaka mimi sipendi.
 
Afike shule ya sekondari ya Mtakatifu Pio iliyoko Kibaigwa wanahitaji walimu wa sayansi hata kama wapo walimu wastafu na wanaweza kufundisha pia
 
Kuna kijana kamaliza masomo shahada ya kwanza chuo kikuu cha dodoma anahitaji ajira popote pale ndani ya tanzania. Ni mzoefu na mwadirifu wa kazi. Kama unahitaji ni pm nikuunganishe nae.angalizo matusi na dhihaka mimi sipendi.

Ni beep kwa namba hii haraka sana kama upo seriouz : 0719442797
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…