Mwalimu wa Fizikia na Kemia kidato cha V na VI anahitajika

Mwalimu wa Fizikia na Kemia kidato cha V na VI anahitajika

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
7,745
Reaction score
11,267
kama unaweza kufundisha masomo hayo na upo Jijini Mwanza niPM. Sio lazima uwe mwalimu kwa taaluma bali yeyote anayeweza kutoa private instructions kwa mwanafunzi.
 
Back
Top Bottom