Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 626
- 409
Hii inahusu mwalim aliesomea ualim au yoyote mwenye uwezo wakufundisha hayo masomoHabari wana JF,
Shule ya sekondari ya ST. MONICA WINO GIRLS inatafuta mwalimu wa Physic na mathematics.
Inahusu waalimu, ila kama unahisi unaweza kuapata jaribu, waalimu wa Physic na Mathematic ni wachache mno.Hii inahusu mwalim aliesomea ualim au yoyote mwenye uwezo wakufundisha hayo masomo
Shule ipo wapi?Inahusu waalimu , ila kama unahisi unaweza kuapata jaribu, waalimu wa Physic na Mathematic ni wachache mno...
Pia mimi nimetuma japokuwa nimesoma Mechanical
Mkoa wa Ruvuma, Wilaya ya MadabaShule ipo wapi?
Walimu wa masomo ya sanaa VIP ?Mkoa wa Ruvuma, Wilaya ya Madaba
Haiba ya nyie msiitegemee serikali, tafuta mtaji kwa njia yyt ujiajiriWalimu wa masomo ya sanaa VIP ?