Mwalimu wa History na Kiswahili mwenye uzoefu anahitajika Mwanza

Mwalimu wa History na Kiswahili mwenye uzoefu anahitajika Mwanza

Joined
Jun 13, 2021
Posts
5
Reaction score
1
Habari za asubuhi wakuu,

Planet Open School inahitaji mwalimu wa kiswahili na History mwenye uzoefu wa kufundisha kidato cha kwanza hadi cha sita.

Planet Open school inapatikana Mwanza Mjini barabara ya Balewa.

Kwa mawasiliano: 0737-988897/ 0752-137196
 
Back
Top Bottom